Recent content by Masafa Marefu

  1. Masafa Marefu

    Rais Magufuli pesa mtaani haipo, biashara ngumu kufanyika, mambo ni magumu sana huku kitaa

    Na wawekezaji wakubwa wanafungasha kuendeleza biashara zao kwingine.
  2. Masafa Marefu

    Nimesikitishwa na kifo cha faru Sudan, dunia ijufunze

    Huyu faru pamoja na off springs wake wawili mtoto na mjukuu walikuwa wanatunzwa na private conservancy ol pajeta iko Laikipia Kenya. Aliporudishwa Kenya pamoja na jike mmoja walijaribu sana kuwafanya wa mate ikashindikana. Huyo jike alikufa nadhani around 2009 sina uhakika sana lakini. Hawa...
  3. Masafa Marefu

    Nimesikitishwa na kifo cha faru Sudan, dunia ijufunze

    Hata mimi naona wahusika walishindwa kuchukua hatua mapema. Sasa hivi wanajipanga jinsi ya kufanya in vitro fertilization. Seriously? mpaka dume pekee aliyebaki anakufa!
  4. Masafa Marefu

    Wanafunzi wa darasa la saba kufanya mtihani wa kujieleza

    Mtihani wa taifa darasa la saba unafanyikaga lini? Muda uliobaki unatosha walimu kuwaandaa wanafunzi?
  5. Masafa Marefu

    Police trafiki Arusha mtusaidie

    Namuunga mkono mleta mada. Wiki mbili sasa ninatumia dakika zaidi ya ishirini kutoka sheli ya lala mpaka round about ya impala umbali usiozidi 1.5km. Madereva na sio wa hiace tu, wanakiuka sheria wanaendesha kwenye service road pande zote mbili kuchelewesha madereva wanaofuata sheria. Juzi...
  6. Masafa Marefu

    Lipumba Huyu Ndiye Aliyesifiwa sana na CUF

    Haujakosea hata kidogo, Lipumba ana uwezo mkubwa. Ona anavyo bomoa cuf aliyojenga kwa miaka kadhaa ndani ya muda mfupi tena akilipwa pesa nyingi. Lipumba katumwa kazi na anaifanya kwa viwango vya juu. Kufanya uharibifu wote anaoufanya lazima awe na uwezo mkubwa. (Sharp but very crooked mind)...
  7. Masafa Marefu

    Mdogo wangu aikosa ndoa kisa michirizi

    Veronica7598 Mwambie huyo mdogo wako akimbie wala asigeuke nyuma. Jamaa jinga kabisa, kama anaogopa kiasi cha kutaka kukimbia stretchmarks za kuongezeka uzito baada ya mimba atafanyaje?
  8. Masafa Marefu

    Prof. Muhongo: Sijiuzulu sakata la Escrow vinginevyo ardhi ya Tanzania itatikisika

    Zitafukunyuliwa zote leo! sio kwa majigambo yale.
  9. Masafa Marefu

    Siamini Tukio la Wakili Alberto Msando kama ni la Kupikwa

    Shida ni kuwa na company zinazopenda public attention liwalo na liwe. Wapo wengi tu wanafanya ya kushangaza zaidi ya haya lakini hautakaa uyaone in public.
  10. Masafa Marefu

    Serikali ipige marufuku huu Ujinga, kudhalilisha watu wetu!

    Ungekuwa mwerevu lazima ungejua kuwa tangu enzi ya ukoloni na hata baada ya uhuru kumekuwa na majaribio mengi ya kuwabadilisha hawa watu na yote zimeshindikana. Unaanzaje kumlazimisha binadamu kubadilisha njia yake ya maisha ambayo anaamini ndio bora kuliko zote? Its always survival for the...
  11. Masafa Marefu

    Tumekosa ustaarabu katika kusitiri miili ya wenzetu

    January 2016 nilipewa jukumu la kutafuta gari la kusafirisha mwili wa marehemu mmoja kutoka Arusha airport to mount meru hospital. Nikapiga simu nikatafuta ambulance. Dereva alipofika airport akakataa akasema ambulance haisafirishi maiti nitafute pickup. Hakunipa sababu ya kukataa, aliondoka...
  12. Masafa Marefu

    Hii ndio noti ya dollar trillioni 100

    Shida kubwa ya viongozi wa kiafrica wanaweka maslahi yao mbele kabla ya maslahi ya wananchi.
  13. Masafa Marefu

    Beyonce: Nguo hazinipendezi tena

    Pamoja na kwamba mimba zinaharibu shape, kuna nguo zinafanya mjamzito aonekane vibaya zaidi. Nguo gani sasa hiyo kavaa! imemtoa kama butternut. Angevaa nguo inayofaa angeonekana maridadi.
  14. Masafa Marefu

    Tuambie kitu ulichofanyiwa utotoni kikakuletea madhara hadi leo

    hiyo siyo kuomba msamaha, kauli gani sasa hizi za kujitapa.
Back
Top Bottom