Beyonce: Nguo hazinipendezi tena

Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.

Pamoja na kwamba mimba zinaharibu shape, kuna nguo zinafanya mjamzito aonekane vibaya zaidi. Nguo gani sasa hiyo kavaa! imemtoa kama butternut. Angevaa nguo inayofaa angeonekana maridadi.
 
3FEA8AA900000578-4471946-Lip_service_A_close_up_of_the_Hold_Up_singer_shows_her_large_lip-a-67_1493871694849.jpg
 
hata kama sio mimba Bey!
KWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEELI NDO ULIONA UWEKE HIYO NINI SIJUI KICHWANI?
HATA MI NGEKUSHANGAA!
sa ulitegemea wakufanyaje mtu umeweka Kingdom Plantae kichwani!
 
Ni kutojitambua tu Mkuu, wanaume wengi tunawaona wajawazito wako soooo sexy na hivyo kupenda kuwashangalia tu jinsi walivyopendeza hasa kama tumbo la ujauzito limeshaanza kuonekana.

Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
 
lol! umenikumbusha bi dada mmoja wa Kiganda alikuwa anafurahia sana kupapaswa tumbo lake wakati wa ujauzito alidai alikuwa anasikia raha sana na mtoto alikuwa anatulia tuliiii hafanyi vurumai zake za kupiga mateke. Halafu bidada mwenyewe ni bomba sana.

Daah kumbe siko peke yangu!
Mie huwa napenda kuwatania "boss" na enfapo nimemzoea huwa naipapasa na kuikiss
 
Una kumbukumbu nzuri sana, lakini ukweli wajawazito wanaume wengi tunawaona wako so sexy. Halafu anataka kuvaa nguo za kubana badala ya kuvaa nguo za wajawazito ambazo huwa zinawapendeza sana.

Sidhan maana ile mimba ya kwanza alijificha sana. Na hata alipotoka kidogo hadharan picha zilitembea ni tumbo feki na hakukanusha wala kupiga picha kwa fujo kama mimba hii ya mapacha.
 
Ni ile hali ya kutojiamini,wanawake wengi wanapenda kusifiwa muda wote na watu wote,ukiangalia bey kazoea kusifiwa na kuabudiwa sasa kuona baadhi ya watu wakimkosoa huku timu yake ikikosa cha kumtetea anakosa kujiamini.

Una kumbukumbu nzuri sana, lakini ukweli wajawazito wanaume wengi tunawaona wako so sexy. Halafu anataka kuvaa nguo za kubana badala ya kuvaa nguo za wajawazito ambazo huwa zinawapendeza sana.
 
lol! umenikumbusha bi dada mmoja wa Kiganda alikuwa anafurahia sana kupapaswa tumbo lake wakati wa ujauzito alidai alikuwa anasikia raha sana na motto alikuwa anatulia tuliiii hafany vurumai zako za kupiga mateke. Halafu bidada mwenyewe ni bomba sana.
Yaani naweza kusema somehow ni confota wa hawa wazazi, hasa tuliokaribu, huwa na kautani flani ambacho wao wanaufurahia, na kumwonyesha kuwa unapenda kumwona alivyo anajisikia raha sana.
###Angalizo, ukipendwa na hawa wajawazito ni hatari huwa wanataka uwe pembeni yao mara kwa mara jambo ambalo laweza kukugonganisha na mwenye mali
 
Kwanza nani kamwambia mwonekano wa mwanamke mwenye mimba haupendezi? Mi mwanamke mwenye mimba yaani huwa napenda niwe namwangalia kila wakati. Yaani huwa namtupia jicho (la heshima) mara nyingi sana.
nyie tumbo la mimba linachosha afu mapacha si mchezo.
 
Kaanza huyo naye yaani mi huwa sielewi hawa masuper star wanawazaga nini? Ona sasa kama huyu anataka aendelee kuvaa nguo zake wakati anajua hali yake iko je?
 
Similar Discussions

8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom