Recent content by Maryjuan

  1. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nmescroll hadi chini nkijua ntakuta kuna mtu kakujibu, wizara ya ardhi ndo kuna ofisi ya msajili wa nyaraka, deed poll ni lazima isajiliwe watu wawe aware kuwa umebadilisha jina na taifa kwa ujumla.
  2. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Hello Kwanza ahsante kaka Mwifwa kwa kunishtua nitoe muongozo[emoji3] Tuanze na Affidavit Affidavit kwa kiswahili ni kiapo, unaapa kuwa hayo majina yote uliyonayo ata kama yamekosewa yatambulike tu kuwa ni yako Sasa kwa affidavit ni document official but shida ake ni kuwa, kila sehem...
  3. M

    INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

    Haya wapenzi karibu sana Zile set zetu zimerudi Set nzima pamoja na box ni 50000 tu WhatsApp/call 0753669856
  4. M

    INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

    Nashindwa kuelewa nifanyeje, maana nkituma always inaonesha nliyoselect ya kwanza nyingine zinakuwa na link kama attachment na ukifungua hazifunguki, kama unaweza nielekeza how to do it utakuwa umenisaidia, zamani ilikuwa poa ila sasa hivi ndo hivyo
  5. M

    INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

    Karibuni sana Provillyk Accessories Nauza aina mbalimbali za urembo, saa za kiume na kike pia Hizi cheni ni 7000 tu jumla na rejareja 10,000 kuanzia 6
  6. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Yaan natamani sana, ila nkitoka asubuhi ndo mpaka usiku narudi tu nalala
  7. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Habari, nawasalimu kwa jina la Jamhuri, natumaini mpo poa na mapambano yaendelee, ubusy tu nmeshindwa kusoma texts zote, ni kama 3000+ Kwa kweli huu uzi uenziwe[emoji4]
  8. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Nmecheka aisee, mwanasheria wa uzi muwe mnanilipa kwa mwezi, ata ushauri unalipiwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  9. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wawapigie kwa kweli, kelele zipungue humu[emoji23]
  10. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Ndo kama sisi, hawana ata mpango[emoji1787][emoji1787]
  11. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Wee umenifurahisha[emoji23]
  12. M

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    As for me nakuelewa 100%, halafu sielewag watu wa tuma screenshot tuprove aisee[emoji23], yaani mtu ni issue ake mwenyew mnamlazimisha atume screenshot...
Back
Top Bottom