Recent content by Marycigeh meru

  1. M

    natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu

    Habari naitwa Mary natokea Shinyanga natafuta kazi yoyote ya kuweza kujikumu iwe apa mkoano Shinyanga
  2. M

    LIVE Yanayojiri vita ya Israel dhidi ya Palestina na Hamas

    Waachieni Israel mji wao kwakweli , Jerusalem tunaijua yangu kale Ni ya wayahudi , inakuwaje Leo wapalestina wanasema Ni Yao? Ina maana wakina mfalme Daudi na kina Suleiman waliiosimamisha ngome kubwa Jerusalem walikuwa wapalestina? Tuache ujinga na wapalestina waache ujinga
  3. M

    Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Kunaswa kisa nini
  4. M

    Natafuta kazi, nipo Kigamboni

    Habari za saizi wakuu, Naitwa Mary nina miaka 24 nina elimu ya chuo naombeni kazi yoyote halali. Nifanye nakaa Kigamboni hata kesho Niko tayari kuanza. Simu: 0682787031
  5. M

    Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

    Habari wanjukwaa, samahani nani anajua procedures za kupata kibali cha kusafiria nje , kwamfano malawi kwa muda mfupi
  6. M

    Anahitaji kujitolea kufundisha somo la Book-keeping na Commerce

    Mimi sijasoma ayo ualimu ila nilisoma ayo masomo katika olevel yng kwahyo kama mnaweza niamini nipeni . Chuo nimesoma bachelor of insurance and Risk managment 0762408926
  7. M

    Nahitaji kuwekeza Tsh. Milioni 170

    Niajiri mm nahitaj kazi 0762408926
  8. M

    Natafuta kazi

    Habari mimi ni kijana wa miaka 24 nimemaliza chuo mwaka huu natafuta kazi yoyote halali ya kuniwezesha kupata kipato. Mf. Kuuza duka/ supermarket, kuwa cashier, kupokea wageni au kufundisha watoto wadogo. Napatikana Dar es salaam Mawasiliano; 0762408926
  9. M

    SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Asante, nimeshapitia na nimerekebisha pia
  10. M

    SoC03 Malezi bora kwa watoto

    Habari wana jukwaa Leo ningependa nizungumuzie mada tajwa apo juu. (Photo)www.ipp media. com Malezi ni jukumu la kumuandaa mtoto jinsi gani aweze kuishi Katika Jamii ,hii inaambatana na namna ya kuvaa, kula , kuongea, kufanya kazi, kutatua changamoto na kushirikiana na...
Back
Top Bottom