Recent content by Maryanmvungi

  1. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kauli yako inaenda kuizika elimu ya juu

    Fanya application kulingana na marks zako sio una passmarks za kawaida unaomba UDSM jua pesa yako italiwa na nafasi utakosa tuliosoma kabla ya TCU tunajua tulikuwa tunaomba unaangalia na marks zako zipo vp.
  2. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kubwa kati ya mwanaharakati katika siasa na mwanasiasa!

    Ya kweli hayo ndugu?? Umeyatoa wapi wewe?
  3. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Mwl mwenzangu anataka mume

    Kweli wanaume wamekuwa adimu lool
  4. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Hii ndio tofauti kubwa kati ya mwanaharakati katika siasa na mwanasiasa!

    Hata huyo uliyemtaja angeteuliwa uwaziri mkuu angekubali tu
  5. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Shujaa yetu polisi azikwa Kyela bila heshima wala msaada wa maana

    Kifo hakina huruma, Mungu awape pumziko la milele
  6. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Askofu Mokiwa wa Anglikana agoma kujiuzulu baada ya kuvuliwa Uaskofu

    Katiba inaruhusu askofu mkuu kumlazimisha kustaafu endapo ataombwa kustaafu kwa hiari akakataa
  7. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Sasa rasmi: Yusuf Manji atimuliwa Quality Plaza, apewa saa 24

    Hapana bana ametolewa Tv zimeonyesha akibeba chake
  8. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Nimepiga vigelegele na kushangilia baada ya mume wangu mtarajiwa kupunguzwa kazini! Oh halleluyah!

    Hahahahah jamani wanaume muonage huruma kwa wapenzi wenu loool
  9. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mmiliki wa NAF Hotel Mtwara afariki dunia

    Hotel gani??
  10. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Dongo lililojificha kwenda kwa wanaojiita Simba

    Point za kufa mtu mi mwenyewe aliniboa sana mala tena anajikosha eti tunachambuaga kama karanga
  11. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Ripota wa ITV Sam Mahela unaboa unaporipoti

    Mpinzani Azam wapo vizuri haswaa
  12. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Hivi ulishawahi pata kazi kwa tangazo liliosainiwa na huyu?

    Wapo fair sana awamu ya kwanza niliitwa 2012 nilikosa but nilijifunza nikaitwa 2014 nikapata. Chamsingi ujiandae haswa hawana ujanjaujanja
  13. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

    Hahahahahahaha
  14. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Uraia wa shemeji yetu mpya kwa Jide

    Na wewe 36 kibibi mhn mbona bado mbichi jamani.
  15. Maryanmvungi

    JamiiForums Tanzania Hivi kati ya Jose Chamelione na Diamond Platnumz nani ana pesa?

    Umeitoa wapi? Mbona data za mwaka huu walimtaja Diamond akifuatiwa na Akothee then Joseee
Back
Top Bottom