Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,279
Hiu ndio tofauti kubwa kati ya mwanaharakati katika siasa na mwanasiasa!
Huwezi kumteua Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe kuwa Waziri Mkuu akakubali.......Sababu Freeman Mbowe ni mwaharakati anayetamani kuona siku moja demokrasia ikifanya kazi na kila mtanzania akifaidi nchi yake kupitia harakati zake.
ANNA E. MGWIRA mwanasiasa mwenye ndoto ya mafanikio katika maisha yake na si uhai wa watu hata wa chama chake tu.Ndo maana alikuwa yupo kumpongeza Raisi kwa kumteua mwanachama wao .Naye ameteuliwa!
NB:-
Kitila ACT :Katibu Mkuu wizara ya maji
Anna mgwira ACT :Mkuu Wa mkoa Kilimanjaro
Zitto kabwe ACT :Waziri Nishati na madini. End of story.