Ndugu zangu Nina MBAO ngumu Kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane, bei ni nafuu ukichukua MBAO zaidi ya 50 usafiri juu yetu, tutakuletea hadi mahali ulipo kwa wakazi wa Dar tu. Mungu awabariki sana ukihitaji naomba ni pm number yako nitakupigia saa hiyo hiyo. Natanguliza shukran za dhati. Asante
Kiafya jamani hayuko vizuri anahitaji kupumzika last week alishindwa hata kumalizia kupandisha ngazi Arusha hadi akapewa msaada wa kusaidiwa,
Pili sio msafi Nyerere alishatuonya, kwanini tusiwape viongozi wengine ambao ni wasafi? Kampani ya lowasa wote wanaskendal ya ufisadi, juzi Arusha...
Natafta mtaalam wa kudisign card za haruc nzuri kwa bei nafuu,card ambazo ni nzuri kuanzia mpangilio wa colors na material used, pia natafta fundi mzur wa kushona nguo hata ukimuonyesha kwenye picha anatoa the same, asanteni sana
Nataka mchele kilo elfu moja, na kuhusu mayai na kuku nataka wa kizungu, kuna tenda nazifukuzia kwenye hotel, ni pm wenye kuku na mayai nijue tunafanyaje biashara, asante
Ndugu zangu natafta mchele grade A ule usio na mawe wala usiovunjika kwa bei ya jumla, mwenye nao plz anipm, pia nahitaji kuku na mayai kwa bei ya jumla, mbarikiwe
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.