Mtaalam wa kudesign na kuprint card, na fundi nguo

Mtaalam wa kudesign na kuprint card, na fundi nguo

mary2014

Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
11
Reaction score
3
Natafta mtaalam wa kudisign card za haruc nzuri kwa bei nafuu,card ambazo ni nzuri kuanzia mpangilio wa colors na material used, pia natafta fundi mzur wa kushona nguo hata ukimuonyesha kwenye picha anatoa the same, asanteni sana
 
Nicheki kwa namba 0716 154531 kwa card designing aina mbalimbali for cheapest price
 
Baadhi ya sample
 
Attachments

  • 1408771878552.jpg
    1408771878552.jpg
    89.7 KB · Views: 66
Mafundi nguo wanatafutwa sana siku hizi....!!
 
mm nachapisha kadi za harusi mbalimbali mkuu karibu kwa huduma hii kwa bei rahisi sana na pia naweza kukuunganisha na fundi nguo wa kushona nguo za harusi best na pia natengeneza keki , napamba karibu kwa huduma

Back
Top Bottom