Kwa mahitaji ya mbao ngumu( hard wood) Mkogo na Mninga

mary2014

Member
Aug 6, 2014
11
3
Ndugu zangu Nina MBAO ngumu Kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane, bei ni nafuu ukichukua MBAO zaidi ya 50 usafiri juu yetu, tutakuletea hadi mahali ulipo kwa wakazi wa Dar tu. Mungu awabariki sana ukihitaji naomba ni pm number yako nitakupigia saa hiyo hiyo. Natanguliza shukran za dhati. Asante
 
weka namba yako basi
ofisi yenu iko wapi?
nikitaka mzirande kabisa na kuzinyoosha?
 
Ndugu zangu Nina MBAO ngumu Kwa atakayehitaji naomba tuwasiliane, bei ni nafuu ukichukua MBAO zaidi ya 50 usafiri juu yetu, tutakuletea hadi mahali ulipo kwa wakazi wa Dar tu. Mungu awabariki sana ukihitaji naomba ni pm number yako nitakupigia saa hiyo hiyo. Natanguliza shukran za dhati. Asante
Weka bei acha ubabaishaji,unauza kwa futi au ubao wa vipimo gani?
 
Back
Top Bottom