Police ni mwanadamu bwana sio mungu mpaka akosee kukamatwa kwa mtu mwingine ambaye ni wa karibu naye haimaanishi na yeye ndio kahusika miriam anajuana na watu wengi sanaaaaa
Kama upelelezi unaanzia kwa watu wa karibu basi wangeanza na ndugu zake miriam tangu mume wake alivyokufa hakuwahi kumuona mpaka anathe alivyokumbwa na umauti ni miaka 3 hajamuona na hakuwa na sababu za kumuua huyo anathe
Kuchomoka atachomoka kwa uweza wa mungu maana mungu ndio hakimu kushinda mahakimu wote kwenye hii dunia na anahukumu kwa haki akisema ndio hakuna wa kusema hapana
Kwani imeandikwa wapi mtu ukifiwa huruhusiwi kuolewa aliyekufa kafa na wala hawezi kurudi na maisha yanaendelea na sio kwamba mume akifa anakufa na feelings zake na za mkewe bado ni mdogo umri wake unaruhusuu hata kama angeamua kuolewa na si ni bora yule ambaye mume kafa ndio anaolewa kuliko hao...
Yes wao wanachotaka ni Mali na wao miradhi walishapewa wazazi tu wakipewa karibia million 200 wadada zaidi ya million 80 wote, familia yao ina hela ila familia ya mke wa msuya wanamuamini mungu na naamini kila amuaminiaye mungu hata muacha huyo mama hajala Chao chochote, na pia baba yake anathe...
Itakuwa ndio hivyo na afya yake imedhoofika sanaaaaa sasa wewe fikiria ni sheria gani unaruhusuu mtuhumiwa aonane na ndugu zake kwenye taxt hao mapolice wanahela gani ya kumkodia mtu taxt
Halafu wanamficha hajulikani kawekwa wapi maana hayupo kituo chochote cha police ndugu zake wameenda kumuona ila alikuwa ndani ya taxt kioo kikashushwa kidogo amejaa makovu akauliza watoto wake wanaendeleaje ile tu ndugu yake anamuuliza mbona unamakovu wakamwambia haruhusiwi kuongea tena...
Aliyeko Australia ni 1 saimon na huyo aunt yake aliyekuwa anakaa huko ni joyce na sio ester na alisharudi Tanzania siku nyingi saimon amepanga nyumba huko Australia
Hayo ni maagano ya familia yao ya wasuya wala mama saimon hakushiriki ni kweli antuja alikuwa anatembea na kaka yake na hayo maagano yao itakuwa wanayaendeleza ndio maana wanakufa na wewe chunguza tarehe aliyokufa erasto ndio aliyokufa anathe
Mama saimon hajaolewa na hao ndugu hata wakipewa Mali hawatawasaidia watoto wa kaka yao coz walishawakana kuwa hawawatambui kama watoto wa familia wakipewa hizo Mali watoto wa marehemu watateseka na pia erasto alitafuta Mali kwa ajili ya familia yake mkewe na watoto na sio ukoo mzima wa wasuya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.