Recent content by Mary may

  1. Mary may

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Nashukuru nitafanya hivyo
  2. Mary may

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Nashukuru kwa maelekezo mkuu, nasumbuka sana na vidonda vya tumbo. Kwa bahati nzuri mkoa niliopo sasa haya majani yapo kwa wingi sana nitayatumia na nitakupa mrejesho.
  3. Mary may

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Sawa, na vipi kuhusu dozi yake?Ni hiyo robo kikombe kwa siku inatosha au vinginevyo?
  4. Mary may

    Yajue haya majani ni dawa ya vidonda vya tumbo

    Mkuu, naomba kufahamu kila siku unaandaa kikombe upya au utakayo andaa siku ya kwanza ndio unatumia kwa hizo siku 3 zote?
  5. Mary may

    Ni hatari kubwa sana mwanaume kumkopesha pesa mwanamke

    [emoji1] [emoji2] [emoji3] jamani ndio unakazia na kilugha juu atakulipa saivi hali ngumu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mary may

    Mwanamke ambaye hahangaiki na simu ya mwanaume wake ni mwenye furaha siku zote

    Sina kawaida hiyo ya kukagua simu na hivi majuzi nimeshuhudia jirani yangu amemchoma kisu mumewe kisa simu. Sina hamu kabisa kwakweli. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mary may

    TANZIA Amri Athuman (King Majuto) afariki dunia akiwa hospitali ya Taifa Muhimbili

    Mbele yako, nyuma yetu. Pumzika kwa amani.
  8. Mary may

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    Kwa kweli, dalili ya mvua ni mawingu.
  9. Mary may

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    [emoji445] siwezi kung'ang'ania labda sio fungi langu...
  10. Mary may

    Huyu mwanamke simuelewi, naomba ushauri

    Uko sawa kabisa mkuu
  11. Mary may

    Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

    Jamani muda mwingine huwa napitiwa sifuatilii kumbe maria Alisha olewa?
  12. Mary may

    Kwa wapenzi wa tamthilia ya sultan

    Unamaanisha Victoria ambaye alizamishwa na mashrach mwenyewe baada ya kupewa adhabu na ibrahim pasha?
  13. Mary may

    Sitasahau nilipokutana na mchumba mwenza live!!

    Pole sana, pamoja na yote uliyopitia lazima maisha yaendelee jiamini
  14. Mary may

    Kuna muda unaweza kuwa loser mpaka ukahisi ulizaliwa ili use loser tu.

    Katika maisha kila mtu ana stori yake japo zinatofautiana. Jipe moyo utashinda na usikate tamaa.
  15. Mary may

    Tushauriane namna nzuri ya kuishi na mwanamke mwenye mtoto, na mawasiliano bado yapo kwa ajili ya mtoto wao

    [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji1] maana kila mtu anajiapiza kivyake
Back
Top Bottom