Ni hatari kubwa sana mwanaume kumkopesha pesa mwanamke

Huyo mwanamke kakaakaaje kwako?

Mwanamke aidha ni jirani yako na familia yake, ama mfanyakazi mwenzako, ushindwe kumkopesha, eti kwa sababu ni mwanamke!

Ninadhani wewe ulikutana na wadangaji, ama kuna mtu alikuwa akikupania ki mapenzi ama hawara yako kabisa huyo.

Iko hivii, mwanamke kama amekupania, ukaonekana haujali, unakwepa viunzi alivyotega ama mdangaji ama hawara yako, wote niliotaja hujitokeza kwa njia ya kukukopa pesa.

Iwapo mwanamke alikupania ama ni mdangaji, basi malipo yako yataishia shimo la thewa, hapo mtakuwa mmemalizana ki roho safi.

Na kama wewe ni mgumu, hauingiliki kihivyo basi hela imekwenda, akili zikusogee ili ukome kuringa.

Kama ni hawara yako 'kuazima' ni lugha mbadala ya '...ninaomba nipatie'. Kopesha lakini jilipe mwenyewe na hilo linaeleweka mbona?.

Hili la ku-group jinsia, haujawatendea haki kinamama kwa kuwa wanawake wenye heshima zao ni wakopaji wazuri na ni warejeshaji wazuri, wanaogopa na hawapendi kukaa na hela ya mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi watu ninaokopeshana nao hela huwa ni wanaume haw as nirushi na mie siwarushagi hivyo ikitokea nikawaomba pesa hurusha chaap

Usichague kiongozi mbaya kisa ni chama chako
 
Labda wewe ila mimi kuna mmoja nilimkopesha. Akaniahidi kunipa alhamisi iliyopita. Sasa jumatatu kufika asubuhi tu nikapata ujumbe kuwa nimekumiss sana. Tayari kengere ikalia kwamba hapa kuna kitu kinatafutwa.. aisee nilimuuliza unanimiss kwa lipi?? Na huku hatujawahi hata suku moja kukaa na wewe.. sasa unamiss nini... ilipofika alhamis yaani asubuhi sana nilianza kukomaa atume hiyo hela...Na sikutaka mazoea kabisa

mwanza kwetu
 
Kuna kaukweli niliwahi kuingia kwenye dhambi ya uzinzi kisa chenji .Nilinunua soda nikatoa 5000 akadai hana chenji kila nikimdai ananizungusha mpk nikajilipa ngono.Mungu anisamehe

Sent from my TECNO-C9 using Tapatalk
 
Back
Top Bottom