Kwanza jaribu kubadilisha chakula unachokula,vipo vyakula vinavyoaminika kuongeza nguvu za kiume(aphrodisiac food) ulaji wa chakula cha Karanga haswa wakati wa usiku,matumizi ya Karanga kumeonekana kumsaidia mlaji kuongeza nguvu za kiume,kula samaki kwa wingi especial of see food,punguza kula...