Recent content by MartinMgaya

  1. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Magufuli (Jesca) sijui alifikaje Chuo Kikuu?

    Alifika Kwa Mwendo Kasi
  2. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Utambulisho wa Mahusiano kwa member wote wa JamiiForums

    Nina Miaka 26 Sijaoa Bado Natafuta Hela kwanza ili Niweze kuwa na Familia iliyo Bora
  3. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi UDSM wafanya vurugu Mabibo Hostel kwa kucheleweshewa fedha za mkopo (Boom)

    Kudai boom nakuvunja vioo kunahusiana na nn Hiyo ni akili au Ugonjwa Kweli wadogo zetu Njaa mpaka kichwani hii hatari
  4. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Mume wangu ana gubu jamani naombeni msaada wenu

    Achana nae njoo uolewe na mm
  5. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (SUGU) hatutakuwa nae tena bunge lijalo

    Kwasababu ni tetesi basi sawa tuendelee kusubiri
  6. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Uwezo na mapungufu ya ACT pamoja na nguzo zake: Zitto, Kitila na Mwigamba

    Act inawapa kiwewe kila siku hamchoki nyie cdm jadili yenu na sisi tujadili yetu
  7. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania ACT-Tanzania yapitisha Katiba (Soma Katiba ya ACT hapa)

    Act wazalendo mabadiliko na uwazi chukua hatua Asante wajumbe wa mkutano mkuu asante Act_wazalendo
  8. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akiomba kura nafasi ya Uongozi wa Chama ACT

    Wew unasaka nn hizo inazo leta ww siasa uchwara
  9. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Uwezo na mapungufu ya ACT pamoja na nguzo zake: Zitto, Kitila na Mwigamba

    Mbona mnaihofia sana Act vp kwani Mwaka huu mtajuta na chama chemu cha kufoka foka bila kujenga hoja Zitto siyo revu yenu mwacheni bana
  10. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe akiomba kura nafasi ya Uongozi wa Chama ACT

    Sio cheo kipya Katiba ya Act ndivyo ilivyo Kun Mwenyekiti wa Chama na Kiongozi wa Chama. Anagombea nanani hicho cheo ww haikuhusu
  11. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Lissu awazuia wabunge wa CHADEMA kuhudhuria uzinduzi wa ACT - wazalendo

    Asante mzalendo Ben saanane Act_Tanzania tunaendelea na mipango yetu ya kujenga chama Lisu kulopoka nikawaida yake kwani wakihudhuria watahama chama huo niufinyuwake wamawazo Ataogopa mpaka kivuli mwaka huu
  12. MartinMgaya

    JamiiForums Tanzania Barnaba: Diamond sio Mwanamuziki

    Mond yuko vizuriiiiiiii
Back
Top Bottom