Mume wangu ana gubu jamani naombeni msaada wenu

Mume wangu ana gubu jamani naombeni msaada wenu

Mtangulize yeye alie juu ktk mapito yako. Tafuta maarifa ya kuweza kumshika kifikra "mindset" akuona wewe tu na wengine awaone wa nini?
 
Mbona kama mke wangu huyu unasema akinuna huenda kulala wapi?
 
Pole mwaya, wangu ana gubu na wivu juu, hata akikosea yeye kosa litageuzwa hadi litakuwa langu na mikwara juu. sasa nimegundua dawa yake ni kuzuia kugombana, akigubika unanyamaza kimya humjibu kitu, akikulazimisha umjibu mwambie SAMAHANI MUME WANGU...naomba yaishe, na sauti uilegeze. Tena huyo anayehamia chumba cha jirani muandikie kinote cha AM SORRY HUBBY mpitishie chini ya mlango. Zaidi yote usiliwaze gubu lake, utakonda bureee....

kim nana ulipoteaaa!!
 
dada asili ya mwanaume ni kunyenyekewa
kua mnyenyekevu kwake,jitahidi usijibishane nae
hilo gubu we ndo umelisababisha nakwambia
we km anaongea uchune omba msamaha ww
ht km kosa lake ili yaishe atabadilika
ila ukijifanya kurudishia itakula kwako bibie

tena hakuna jibu zuri kama kukaa kimya kwa mwanaume anayependa ugomvi.
 
Mwanamme wa ajabu huyu

Anasusisa hadi kugegeda?Mm hata nigombane vipi na my wife mgegedo upo pale pale
 
huyo ninekuwa mimi ningegeuka bubu mpaka angeomba pooh....
Akisema namuangalia tu...mana watu wa hivyo wana enjoy sana kujibizana...sasa simpi hiyo nafasi...mpaka atajiona mjinga...
 
Jishushe mpaka unyayoni..
Sali sana usiku..
Fanya yanayomhusu kwa mikono yako kama kufua kupika kunuandalia mengineyo na kadhalika usitumie mashine...
Kuwa mwema kwa ndugu zake...
Mwanaume hakosei..kuwa makini hapo
Ila wewe hujatuambia matatizo yako huyo mwanaume sio chizi kukukasirikia bure bure tell us we can help you.
 
Mwanaume mwenye gubu ni tatizo aisee, anasusia chakula zote mbili? Mwanume anayesusia chakula hana maana kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom