Dr. Yuko right kabisa, kua kunawateule, nikirejea kauli ya MTEI kuwa makamu m/kiti aliyejiuzuru ndo alikua ameandaliwa, ila watakumbuka tu wale wenye kumbukumbu lakini wale mashabiki waviongozi!
acha butron kutetea ujinga, kwani miaka 10 haitoshi mpaka mtu ang'ang'anie awe wa milele nakuondoa hicho kipengele nikufanya watu watimize malengo yao ya kimaslahi!
Nafikiri tuangalie nini tunatakiwa kufanya, tuanze mabadiko ndani ya chama ndo tutoke nje, kwanini mbowe ang'ang'anie?
Uroho wa madaraka ndo utaua chadema. Je akiwa rais si atabadiri katiba ili adumu milele!
Hata zitto inawezekana kunakitu aliona, hasa USULTANI WA MBOWE.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.