Katiba ya CHADEMA na muda wa Uongozi

Katiba ya CHADEMA na muda wa Uongozi

Utakuwa mjumbe wa kamati tendaji ya SACCOS ya Mtei

shoga.png

Wewe naona kimuonekano na matendo hayana tofauti na hii picha
 
uchaguzi ni mpaka mbowe na slaa watakapoamua. wajumbe wa kamati tendaji ni mazezeta tu hawana sauti yoyote kwenye chama
 
The questions still stand, kama kada wa CHADEMA, una majibu?
Mkuu Kiranga,mimi si mwanachama wala kada wa chama chochote cha siasa nchini Tanzania au kwingineko. Ni mfuatiliaji wa siasa tu
 
Last edited by a moderator:
hivi mbona hili suala linaeleweka na tunalitolea majibu kila siku? Ni kwamba chama kiko chini ya ufalme na uchaguzi ataamua mtei period hamna mjadala tena
 
Umeji present kama mtetezi wa CHADEMA kwa vifungu vya katiba.

Kwa hiyo huna majibu right?
I beg to differ Mkuu, sijaandika kama mtetezi wa CHADEMA.Nimeandika kama mfuatiliaji wa demokrasia wa kawaida. Majibu gani unayoyahitaji?
 
Wanachama wa chadema wenye kadi zetu hatutaki uchaguzi tuna mwenyekiti wetu wa maisha mpaka afe ndo tuchague mwengine tena lazima atoke kwetu atakae taka uchaguzi tunamfukuza,aende kwa maccm yanayotaka uchaguzi.

ww sio mwanachama mwenzetu!
 
I beg to differ Mkuu, sijaandika kama mtetezi wa CHADEMA.Nimeandika kama mfuatiliaji wa demokrasia wa kawaida. Majibu gani unayoyahitaji?

Huna majibu, uwe mfagizi, mteteaji, mfuatiliaji, that's the bottom line. Inatosha.
 
Uchaguzi ndani ya CCM Taifa
1. Mwenyekiti alipita bila kupingwa kura 100%
2. Makamu Mwenyekiti Bara & Visiwani walipita bila kupingwa 100%

Je kwa akili zako za kushikiwa chaguzi ndani ya CCm zinafuata Demokrasia?

sasa na wewe kwa akili zako za Shimo la choo
 
Uchaguzi ndani ya CCM Taifa
1. Mwenyekiti alipita bila kupingwa kura 100%
2. Makamu Mwenyekiti Bara & Visiwani walipita bila kupingwa 100%

Je kwa akili zako za kushikiwa chaguzi ndani ya CCm zinafuata Demokrasia?

sasa na wewe kwa akili zako za Shimo la choo unaamini kuwa Chadema inapaswa kuendeshwa ama kufanana na ccm??? Acha bangi dada angu, gongo haikutoshi mpaka uvamie tena na mibangi tena mbaya zaidi unavitia chooni itakuwa
 
sasa na wewe kwa akili zako za Shimo la choo unaamini kuwa Chadema inapaswa kuendeshwa ama kufanana na ccm??? Acha bangi dada angu, gongo haikutoshi mpaka uvamie tena na mibangi tena mbaya zaidi unavitia chooni itakuwa

View attachment 132544
Wewe kama ni mwanaume huna tofauti na huyu jamaa kweye hii picha kwani maandishi yako yote yamekaa kishogashoga.
 
Mkuu Pascal Mayalla huwa unaheshimika sana hapa jukwaani na muda mwingine huwa unaongea kwa mafumbo lakini hapa Sidhani kama unaongea kwa parables maana upo clear kuwa CHADEMA imefuta kipengele cha uongozi.

Hili swali aliwahi uliza Nape humu jukwaani na akajibiwa na Dr slaa pamoja na JJ Mnyika kwa hoja na nyaraka kwamba kipengele cha ukomo hakikufutwa ila katika kusaka maoni ya kutunga katiba mpya chini ya Prof Baregu suala hilo halikuwekwa na wanachama.

HIVYO BASI unapojenga hoja kuhusu suala hili usiseme kilinyofolewa bali sema katiba mpya haijazungumzia. Maana mtu anaweza dhani ilifanyiwa amendment ikafuta hiko kipengele.

Pascal upo credible so una uwezo wa kutengeneza au kuharibu so kabla hujachangia lolote keep your facts straight!!

Ni hayo tu mkuu wangu
Mkuu Zitto jnr, kwanza asante for much respect.
Utungaji katiba is a process, kila kilichokuwepo kwenye katiba ya mwanzo, kilikuwepo kwa sababu, unapotunga katiba mpya, kila kitakacho ondolewa lazima kijadiliwe with minutes written down.

Katika huo utunzi wa katiba mpya hakuna minutes zozote kuhusu kipengele hicho, as if it's an oversight, kwa taarifa kipengele hicho ni moja ya misingi mikuu kwa Chadema kuitwa Chama cha Demokrasia, how can katiba ya Chadema iwe silent?.
P
 
Back
Top Bottom