Recent content by Martin BM

  1. Martin BM

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Still online
  2. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania, nchi pekee ambayo...

    TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
  3. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza?

    Duuuh....?
  4. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Huwa najiuliza?

    Vitabu vingi vya dini vinaonyesha kumponda shetani na kumtuhumu kuwa yeye ndio baba wauovu, msababisha maasi na dhambi duniani. Vitabu hivyo vilevile vinamtukuza Mungu kama ni baba wa upendo, vinaonesha pia hata ukaribu wa Mungu kwa baadhi ya wanadamu kama Mussa, Daud n.k. Swali langu ni...
  5. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Shilole athibitisha kupigwa na Uchebe, asema kuanzia leo yeye siyo mke wa Uchebe

    Hahahhaah umenichekesha
  6. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Bora kutumia akili ya kuzaliwa nayo kuliko Elimu ya makaratasi

    [emoji116][emoji116]
  7. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Watu wa Geography...

    Hahahaaaa
  8. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Watu wa Geography...

    Ile nyota mtu anaonanga baada ya kupigwa kofi [emoji112] inaitwaje?
  9. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua wewe ni...

    Wewe kama wewe, Mungu anakuonaje...?
  10. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua wewe ni...

    Kwanini...?
  11. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua wewe ni...

    Hahahaaaa....[emoji23][emoji23]
  12. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu anajua wewe ni...

    MARA nyingi AKILI yangu huwa inafanya kazi kulingana na mtu ninaekutana nae. Kuna mtu anajua mimi ni mjinga. Kuna mtu anajua mimi ni mtu mwenye upeo mpana wa kufikiri. Kuna mtu anajua mimi ni mpole harafu kuna mtu anajua mimi ni bonge la mkorofi. Kuna mtu anajua mimi ni mcheshi harafu kuna mtu...
  13. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hivi hii "M" kwenye M-PESA inamaanisha nini...?
  14. Martin BM

    JamiiForums Tanzania Hekima na busara

    ‎1.‎ Watu wenye Mafanikio na Ufanisi huwa na sifa mbili ‎midomoni mwao: Tabasamu na Ukimya. Tabasamu ‎husaidia kutanzua matatizo, vile Ukimya husaidia ‎kuepuka matatizo.‎ ‎2.‎ Unaweza kuchanganya Sukari na Chumvi pamoja. Ila ‎sisimizi huchkua Sukari tu, na kuondoka nayo, na ‎kuacha Chumvi...
  15. Martin BM

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eliza na Ex-Boyfriend wake

    Ex[emoji1522] Hellow, mambo..!!? Girl[emoji3177]: poa tu nani..? Ex[emoji1522]: aah!! ulifuta hadi namba yangu au sababu umeolewa...? Girl[emoji3177]: hayo hayakuhusu sema we nani...? Ex[emoji1522]: mi Mcharo Girl[emoji3177]: OMG!! mzima wewe? za siku? Ex[emoji1522]: nzuri tu nimekumiss...
Back
Top Bottom