Martin BM Member Joined Jul 2, 2020 Posts 16 Reaction score 22 Jul 12, 2020 #1 TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
TIRIRIKA hapo chini kwa Mambo na majambo ya watanzania na vituko vyao. Mimi naanza hiviiiiii "Ambako watu hununua bundle ili wapost Kama hawako vizuri kiafya badala ya kununua dawa".
Mikopo Chefuchefu JF-Expert Member Joined May 15, 2017 Posts 3,373 Reaction score 6,808 Jul 12, 2020 #2 Nchi ambayo uchumi wake unakua kwa kasi kuliko kuku wa kisasa!
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,027 Reaction score 27,833 Jul 12, 2020 #3 Covid-19 imeingia mitini bila ya kuaga...
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 24,820 Reaction score 61,728 Jul 12, 2020 #4 .....imehama kutoka uchumi mdogo wa chini kwenda mdogo wa kati kelele nchi nzima
tony92 JF-Expert Member Joined Jul 17, 2013 Posts 2,402 Reaction score 3,709 Jul 12, 2020 #5 Inajenga bwawa kubwa la kufua umeme litakalozaliza 2000MW.
DR HAYA LAND JF-Expert Member Joined Dec 26, 2017 Posts 32,358 Reaction score 83,354 Jul 12, 2020 #6 Makonda kaonesha cheti cha form four.