Recent content by MARO BM

  1. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Madhara ya unywaji wa soda kwenye afya ya Binadamu

    Elimu Elimu Elimu! Kusoma twajua cc,kupuuzia siye tusisahau kufa ni mmoja mmoja. AMINA.
  2. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Nikijibiwa hili nahamia Chadema

    Nani kakudanganya kuwa kuhusishwa ndo kufanya? No Research No Right To Speak! Upinzani upo kwa Ajili ya kuisema Serikali ili itekeleze Majukumu yake,na sio kama unavyosema wewe eti Chadema wamefanya nn. Keti Chini Jifunze ndo urushe Thread Humu.
  3. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Nikijibiwa hili nahamia Chadema

    Uvivu wa kufikiri.
  4. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wa CHADEMA mna ubaguzi na upendeleo

    Uhuru wa kuongea hauna relationship na ukabila.Watch out huko ni kufilisika kimawazo.
  5. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Juz kati apa nliweka jero kene simu nataka kujiunga,nlipoanza process nkaambiwa ongeza salio kwanza.Nadhani ata mm nimeanza kulipa kwa Installment isiyokuwa na Agreement. Nafikiria kurejea kene S.L.P. yangu.
  6. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Neno 'siri' lilivyotumika vibaya kufungia gazeti la mwananchi

    Ni Kweli Waache wafu "wajisike" wenyewe Mangi.
  7. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Clouds hawajui tofauti na maana ya maneno: Fursa na hamasa

    Ila ninachokifikiria hapa kutokana na michango mingi ni kwamba tunaweza ku-digest na kusema kuwa ni vigumu kuelezea fursa zilizopo bila kupitia success stories,namaanisha kuwa huwezi pata opportunity bila ku-via success stories.Success stories zinaamsha msgawasha
  8. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Kodi ya SimCard sasa kuanza mara moja!

    Du umecomment kama vile msaani wa taarabu! Watanzania wengi ni maskini wa hali ya chini,kipato chao ni chini ya dola 1 kwa siku ww uajifanya eti wakate kuanzia January ,kama una hela chafu ni za kwako bhana.
  9. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa juu wa CHADEMA mna ubaguzi na upendeleo

    mkuu hayo ndo maneno mabadiliko ni lazima.
  10. MARO BM

    JamiiForums Tanzania ajira mpya za walimu 2013-2014

    Acha kusubiri subiri piga ujasiriamali.
  11. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Mishahara ya SUMATRA kufuru

    Mwambie huyo ndo katoka shule.
  12. MARO BM

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Arusha - Kondoa mob: 0754 954 654
  13. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kuvimba Miguu: Chanzo, Ushauri, dawa na tahadhari (pamoja na wajawazito)

    Shkamooni Wana JF Kwanza namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia Afya njema. Jambo la pili na la msingi ni kuhabarisha umma kuwa tatizo la kuvimba miguu linasababishwa na shinikizo la damu. Kama kuna sababu nyingine Mahsusi inayofanya miguu kuvimba zitoe hapa.
  14. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Nbaa tunataka tuone marks zetu!

    Hata kama wapo good kwenye Marking point hapa ni OPENESS
  15. MARO BM

    JamiiForums Tanzania Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Hakina la kuongeza yote ni MEMA.
Back
Top Bottom