ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,019
- 7,223
Kuvimba miguu by itself siyo tatizo lakini inaweza kuashiria uwepo wa tatizo. Kwahiyo, unachotakiwa kufanya iwapo miguu imevimbi wakati wa ujauzito ni kupima pressure, na mkojo kama una protein.Kama hivyo vyote viko sawa na mjamzïto hana tatizo lingine lolote basi anachotakiwa kufayna ni kuwa anainyanyua miguu au iwapo imevimba sana basi kuvaa bandeji.
Daktari wako anaweza kuhitaji uudhurie maranyingi zaidi kwa ajili ya kufanya vipimo kadri atavyoona inafaa.
Tatizo kubwa zaidi linaloambatana na kuvimba miguu ni kifafa cha mimba.
Kuvimba huwa kunasababishwa na kutanuka kwa nafasi kati ya kapilary na kusababisha majimaji yaliyomo ndani ya mishipa ya damu kutoka nje na kuleta uvimbe.