wajameni,
huyu mtatiro ameshaeleza mara mbili hapa ndani juu ya hali halisi na shutuma anazopewa, na ameomba tuhuma hizo zithibitishwe, mleta mada ameingia mitini, hataki kuthibitisha, kwa hiyo tutamshambulia mtatiro wa watu bila hatia. In fact nasisitiza kuwa ukweli utasimama daima, kwa mtu...