Recent content by marieclaire

  1. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

    [emoji19] mtihani
  2. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Kila ninapokuwa watu wananikodolea macho

    me pia everywhere i pass mimacho najulikana kila napoenda wakizidi nami nawakodolea inaboa
  3. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Siku ya Mashoto Duniani: Wana JF wenzangu tunaotumia mkono wa kushoto tukutane hapa

    Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
  4. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Wanaume kamwe hawaoi aina hizi za wanawake (wanawake badilikeni)

    Mungu nisaidie mie am 29 na hapo 1,2,3,5,7,8,10 zinanihusu:(:(
  5. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lundenga kukemea Matusi ya Mange, Wizara ya mambo ya ndani na Jeshi la Polisi latoa onyo

    namtetea rachel kwa hili. rachel alikua akicomment kwenye page zinazomtukana mange the same way ambavyo mange alikua akimmention na kuachia comments uturn. kumbuka hawa wawili rachel na mange wanagombana na kuchafuana since hi5 hawajaanza leo ugomvi wao hauishagi unapoa tu. rachel ametulia sana...
  6. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Series (Special thread)

    Mkuu samahani the originals season 2 naweza ipata??
  7. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Urembo wa vikuku, vishaufu na cheni (shanga) kiunoni kwa wadada

    liar me mbona navaa miguuni since i was a teenager and nothing has happened tabia tu za mtu usizisingizie hizo beads 👋👋
  8. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Dada wa Saloon ananiletea wanawake

    pre form 1😑
  9. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Airtel Tanzania, huu ni wizi

    kila nikinunua kifurushi kabla hata sijakitumia wanantumia message kwamba nimetumia 90% of it na huwa nazima data kabla sijajiunga hao call agents ndo kabisa dont bother nilikua na tatizo airtel money i called 100 times skupata msaada mpk nikaenda moroco napo bado walikua wana attitude hao csr...
  10. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Bi mkubwa anagombana sana na mdogo wangu

    story of my life😢
  11. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hajawahi kunibusu

    mwekee ile nyimbo ya yemi alade💏
  12. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Kwanini wavuta bangi huongea maneno yenye busara sana?

    cool meditation
  13. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Mke ana wivu sana

    Ushikwapo shikamana
  14. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Kuitwa kwenye Usaili, Sekretarieti ya Utumishi wa Umma: Agost 22, 2015

    nimeliona jina langu na tumeitwa 12 nafasi 6 ni oral interview tu GOD be with me
  15. marieclaire

    JamiiForums Tanzania Kuweni makini na nafasi zinazotangazwa na ZOOM, kuna utapeli

    nami nlichomfanya hatonisahau kashanishortlist mara ya4 hii mara mr rajab mara vincent wamenifanya nipaogope zoomtanzania :mad2:
Back
Top Bottom