Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Dada wa Saloon ananiletea wanawake

Eti mashine yako ni almost 5 times bigger than that of her hubby. Hivi ulisoma hesabu hata ya la kwanza tu? Maana kama ni mara tano zaidi, hiyo itakuwa ni kama ya tembo.

huwezi kujua labda ana ya punda, ............. kilichobaki wadada wachangamkie fursa tu. mana hamna namna nyingine.
 
"game lako"
kila la heri endelea kutembeza hilo game

Unamfahamu Charlie Sheen; huyu ni muigizaji MAARUFU HUKO MAREKANI AMBAYE ALIKUWA NA GAME KAMA LAKO, SASA HIVI ANA UKIMWI!!!
 
Unamfahamu Charlie Sheen; huyu ni muigizaji MAARUFU HUKO MAREKANI AMBAYE ALIKUWA NA GAME KAMA LAKO, SASA HIVI ANA UKIMWI!!!
ndo jamaa analitembeza kwa wanawake wa saloon hilo game lake
 
totally nonsense. mnafungua lini shule? hadithi nyingine bana! I fail to understand them. kuandika utumbo wote huo huna kazi ya kufanya? shame upon you.
 
Laiti ungejua hata mm sipendi lkn inafika wkt ht mm nashindwa naamua niwapatie tu wanachokitaka.

Kwani hii ni kama mwiko tu wa kupikia kila anaetaka kupikia anapikia tuu.
pika tena korogaaaaaa kijana huo ni mwiko, na kamwe mwiko hauchagui sufuria wala chungu
 
totally nonsense. mnafungua lini shule? hadithi nyingine bana! I fail to understand them. kuandika utumbo wote huo huna kazi ya kufanya? shame upon you.

u may deem this thread as a nuisance.on the other hand its a fact n it alerts men of ur caliber tu make sure during bed time make sure u dont under perform.otherwise u may be one of the deceased.
 
hama hapo mtaani bila kuaga hata kuku wa jirani.
usikanyage huo mtaa MILELE
Badili namba ya simu
Badili maeneo uliyozoea kutembea km hoteli nk
MUONEE HURUMA SANA MKEO......Wanawake hawana siri.....dunia haina siri. mkeo akijua uakuwa umemuumiza sana na utamtia aibu ya karne hapo mtaani. ondoka mapemaaaaaaaaa kabla hakijanuka.
na hili nimeweka mwisho ili ulikumbuke MRUDIE MOLA WAKO.IPO SIKU UTAULIZWA NA UTAHUKUMIWA KWA HUO UNZINZI WAKO.DUNIA NI FUPI MNO. FIKIRIA KIFO NA HESABU YAKO MBELE YA MUNGU KWA WALE ULIOWADHULUMU HAKI ZAO KWA KUTEMBEA NA WAKE ZAO.
Jitathmini
 
Hongera sana endelea na zoezi la kuinadi mashine yako ila angalia sana wake za watu sumu.
 
wakati nime balehe baba yangu alinipa wosia kwamba nisitembee na mke wa mtu katika hii dunia kwani mumewe akigundua hata kama wewe utaachana kabisa na huyo m/mke ila mme wake hatakuwa na imani nae tena na mateso chuki ugomvi na mifarakano utakaowapa hao wawili vitakurudia wewe na familia yako mara 10 zaidi.

Usijisifu kutembea na mke wa mtu utakuja kujuta hata kwa nini mama yako alikuzaa katika hii dunia

Ni kweli hii ni laana ambayo baadae inakurudia wewe kwenye familia yako
 
Ukute jamaa ana 30+ kazi kukaa jf kujisifia, eti ana five times bigger....unazijua hesabu kweli?
 
Ibilisi anakufurahia.muda si mwingi atakutengana watu usije ukamwasi.beware!!
 
Hahahahaahahahahahaha! Dah hii ya tembo imeniacha hoi!



Eti mashine yako ni almost 5 times bigger than that of her hubby. Hivi ulisoma hesabu hata ya la kwanza tu? Maana kama ni mara tano zaidi, hiyo itakuwa ni kama ya tembo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom