Anayemlipa Mtu cheque anampa muhusika chequr yake anapeleka mwenyewe bank...otherwise kama ni tranfers sawa..inachukua masaa kadhaa kusoma kwenye account yako.
Ooh,pole sana!for how long have you been in that situation?it might be a serious issue..u mean husinzii mchana even after staying like a watchman all the night long?
The good thing ni kwamba unajitambua.it is obvious kwamba kazi ndio inakupa stress,umeadmit kwamba you have plans and things to accomplish in an exraodinary way..hapa nimenote kwamba unataka kutowaangusha hao wanaokutazama,gud!but find a better way of making division of labour if possible and...
Angalia kama ni binti wa type yako.kama siyo achananae,kama ndio funguka bro akujibu ndio au hapana..kama kweli anakupenda atakujibu.Ukweli ni kwamba wanawake wanatabia ya kuweka mapozi hasa anapohisii jambo unalotaka kumweleza.So usikate tamaa,piga simu unapoomba date sio kutuma text.
Duh..nimekupata,inakera kweli.. La nyongeza. *Kuzungumzia mambo ambayo ni nje na tendo.e.g kazi au kukimbilia simu ya mkononi na kuiwasha ili atakaepiga kwa muda huo asikukose..ni vizuri kupozi kwa dakika kadhaa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.