Ndani ya denda kuna ujumbe mzito? (Don't talk just kiss!)

Utakaa jf usiyajue haya kweli? Utakuwa mrongo
Kuna jukwaa hapo chini lina vitu bila huvaa mask huangalii.

Pia kujua na kutenda ni tofauti.

ni kweli Kongosho kujua siyo lazima iwe ni kutenda...................knowledge is power and forewarned is forearmed............
 
Kongosho anakhofu watoto wake wasije kuwa kama yeye..............

He he he, hakuna jambazi akataka watoto wake wawe majambazi :A S angry:

Hivi fangas inaweza kuwa ujumbe mwingine?

Na huo ndio ujumbe namba moja, hujaona watu wanatumaziwa pembeni ya lips?
Ni hayo mambo ya kufakamia kila kilichombele yako

Kuna mambo mengine mtu akiyafanya bila kuchagua au kubagua, yanakuwa ni uchafu na upuuzi tu.

Hata mambo ya ngono yameshageuka uchafu kwa sababu watu wanararuana tu kama kuku wa kienyeji...

Sijui kama ningekuwa teen ningefanyaje...But not every chick would see my goldmine!!

Babu DC!!

Wewe babu ushatoka hiyo stage ya kujifunza mambo mapya
Watoto je? Hasa teenagers ambao ndo wanajifunya wakutane na magubegube yalokubuhu, si yatawafundisha ufir.auni?

Mie nikiwaza hivyo nyongo inatumbukia.
 
Jamani ni kweli kuwa kissing inabeba ujumbe fulani. Yaweza kuwa; affection, sympathy, love, admiration, lust n.k. Sasa tukirudi kwenye 'denda'; hapo pamoja na maana almost zote hapo juu, hii hufanywa na 'wapenzi' au lovers.
Nafikiri mpaka hapo tunakubaliana.

Sasa lust ipo hata pasipo love; hiyo hatubishani.
Na pia kuna magonjwa yanayoambukizwa kwa njia ya majimaji; sibishi hapo. ila hata hand shaking tu, yaweza leta magonjwa; somebody sneezing next to you TB, yako (especially kama kinga ina mashaka), na njia nyingi tu. Ukifuatilia sana maambukizi na njia zake; unaweza tembea na mask ya kila sehemu.

Denda ni mambo ya kiwestern; hapo nina mashaka. Nitamuuliza, bibi mdogo aliyebaki, nakumbuka bibi yangu aliyefariki in mid 90s, ambaye alikuwa na 96 yrs, alikuwa ananisimulia mambo ya mapenzi, na favourite yake ilikuwa ni kuwekewa ulimi sikioni. So katika era ya bibi yangu hii kitu ya denda ilikuwepo; hapo we are talking about 1916 au 20 hivi kipindi yeye ni msichana. Influence ya wazungu, sidhani; ilikuwa maubunifu yao tu.

Ni hayo tu Rutashubanyuma kwa muda huu, l hope nimejieleza vema

Kaunga .....yaani umegusa nyoyo yangu....................labda niishie hapo kwa sasa...............nisije nikatia chumvi na wakati mboga tayari umekwisha inogesha..............
 
quote_icon.png
By Rutashubanyuma

Kongosho anakhofu watoto wake wasije kuwa kama yeye..............
He he he, hakuna jambazi akataka watoto wake wawe majambazi
A%20S%20angry.gif

quote_icon.png
By Mungi
Hivi fangas inaweza kuwa ujumbe mwingine?

Na huo ndio ujumbe namba moja, hujaona watu wanatumaziwa pembeni ya lips?
Ni hayo mambo ya kufakamia kila kilichombele yako

quote_icon.png
By Dark City
Kuna mambo mengine mtu akiyafanya bila kuchagua au kubagua, yanakuwa ni uchafu na upuuzi tu.

Hata mambo ya ngono yameshageuka uchafu kwa sababu watu wanararuana tu kama kuku wa kienyeji...

Sijui kama ningekuwa teen ningefanyaje...But not every chick would see my goldmine!!

Babu DC!!

Wewe babu ushatoka hiyo stage ya kujifunza mambo mapya
Watoto je? Hasa teenagers ambao ndo wanajifunya wakutane na magubegube yalokubuhu, si yatawafundisha ufir.auni?

Mie nikiwaza hivyo nyongo inatumbukia.

sote tunavuna tulichopanda..............tukipanda magugu tutavuna magugu ingawaje tunatarajia mpunga.............
 
Mh!
Kongosho bana unanichekesha, yaani mtu anakula denda na changu, halafu hajui huyo Changu katoka wapi na alikua anafanya nini ( au ukute jchangu alikua ananyonya ndude ya jamaa halafu baada ya dakika kadhaa unakuta mtu mwingine unakula denda na changu, hahaa lol unajikuta mpaka unakula mbegu za jamaa yaani full Uchafu...

ndipo hapo basi........................utakuta mtu baadaye akijiuliza hivi huyu mtu nilitoka naye wapi?
 
Mh!
Kongosho bana unanichekesha, yaani mtu anakula denda na changu, halafu hajui huyo Changu katoka wapi na alikua anafanya nini ( au ukute jchangu alikua ananyonya ndude ya jamaa halafu baada ya dakika kadhaa unakuta mtu mwingine unakula denda na changu, hahaa lol unajikuta mpaka unakula mbegu za jamaa yaani full Uchafu...

....halafu nawe waenda kusuuza kwa mkeo; ukirudi nyumbani...
By the way, hivi inawezekana bila kissing? Siwezi imagine yaani.
 
denda inaweza kuwa na ujumbe mzito /sio kila wakati mipaka kitu cha muhimu huwezi jiachia achia kama kuku wa kienyeji kupokea kila mimate ya watu huo utakuwa uchafu .
 
Why not Kaunga?
Hebu fikiria, mwamnzoni mwa mahusiano mnatumia kinga afu denda?
Kuna haja gani ya kuvaa ndom afu ulimi umeu-expose nje nje

Si tu HIV, kuna magonjwa mengi kama TB, hepatitis n.k
....halafu nawe waenda kusuuza kwa mkeo; ukirudi nyumbani...
By the way, hivi inawezekana bila kissing? Siwezi imagine yaani.
 
Last edited by a moderator:
denda inaweza kuwa na ujumbe mzito /sio kila wakati mipaka kitu cha muhimu huwezi jiachia achia kama kuku wa kienyeji kupokea kila mimate ya watu huo utakuwa uchafu .

Lakini kama ni kwa mpenzi wangu, najiachia kwa mafeelings yangu right??
By the way, hata kuachia mwili wako kwa kila mtu mimi kwangu naona ni uchafu. Mimi nilivyokuwa najadili niliassume moja kwa moja, denda hutumiwa na wapenzi (mume-mke, girlfriend-boyfriend na bila kuwasahau kina Boflo) na ndio maana nikauliza tuwe tuna viral/bactriometer nyumbani, ili before anything tunacheck kama kuna tumafua au tuvikohoo!
 
Why not Kaunga?
Hebu fikiria, mwamnzoni mwa mahusiano mnatumia kinga afu denda?
Kuna haja gani ya kuvaa ndom afu ulimi umeu-expose nje nje

Si tu HIV, kuna magonjwa mengi kama TB, hepatitis n.k

Yaani, ingekuwa hivyo, l tell you 70% ya wa TZ wangekuwa TB positive, over 50% wangekuwa HIV; Hepatisis zote positive. Hivi, zamani, nyie mlikuwa hammegeani sijui Ashikirimi kwa ulimi, hamuombani vitu hata vya mdomoni (l mean utotoni).

Ukiwa na shida ya kinga, risk ni kubwa especially kama unamichubuko mdomoni. lkn l tell you a lot of bugs wanaoingia wanakufa kuliko hata wanaokufanya uwe sick. Tena mfano wa Hepatitis viruses, wengi wapo tu miilini lakini hawana madhara kwakuwa mijama T lymphocytes iko kazini muda wote.
 
ndio nilichomaanisha Kaunga............ndio maana nimeweka neno mipaka hata huyo mpenzi inategemea /labda mume/mke .....umeshawahi kuwa na mpenzi mnywa pombe na mvuta sigara mzuri embu pata picha ya hiyo michanganyiko halafu akikuona brake ya kwanza anataka denda.

Lakini kama ni kwa mpenzi wangu, najiachia kwa mafeelings yangu right??
By the way, hata kuachia mwili wako kwa kila mtu mimi kwangu naona ni uchafu. Mimi nilivyokuwa najadili niliassume moja kwa moja, denda hutumiwa na wapenzi (mume-mke, girlfriend-boyfriend na bila kuwasahau kina Boflo) na ndio maana nikauliza tuwe tuna viral/bactriometer nyumbani, ili before anything tunacheck kama kuna tumafua au tuvikohoo!
 
Hivyo vya zamani tulifanya sana, ila kiasi cha cinsumption ya mate sidhani kama kinalingana na denda lenyewe.

Anyway, huu mtizamo wangu wa zamani kidogo.

Yaani, ingekuwa hivyo, l tell you 70% ya wa TZ wangekuwa TB positive, over 50% wangekuwa HIV; Hepatisis zote positive. Hivi, zamani, nyie mlikuwa hammegeani sijui Ashikirimi kwa ulimi, hamuombani vitu hata vya mdomoni (l mean utotoni).

Ukiwa na shida ya kinga, risk ni kubwa especially kama unamichubuko mdomoni. lkn l tell you a lot of bugs wanaoingia wanakufa kuliko hata wanaokufanya uwe sick. Tena mfano wa Hepatitis viruses, wengi wapo tu miilini lakini hawana madhara kwakuwa mijama T lymphocytes iko kazini muda wote.
 
Pengine mimi ni mhafidhina sana katika "denda". Nijuavyo, denda ni moja tu kati ya aina kadhaa za busu. Hili la mwisho linaweza kuwa na maana mbalimbali, lakini denda lina maana moja tu, KUPENDA, sio KUTAKA. Kwa maana hiyo, naamini kuwa denda ni:
- mapenzi (ya kweli kweli)
- kuaminiana
- kusabiliana....Kama ni hivyo, utadendaje na mtu kinyume na hayo?

Kwangu mimi denda ni asili/maumbile ya viumbe vingi, baina ya ndege hadi wanyama, seuze binaadamu. Kwa hivyo, siamini kuwa denda ni bidhaa ya kuagiza toka nje. Babu na mabibi zetu walikuwa wakidenda tangu siku hizo wazungu wanaogopwa, hakuna senema wala Intaneti.

Kitu ambacho sikatai ni kuwa siku hizi hakuna haya wala jinaya. Tumekuwa wawazi sana, mengi yaliyokuwa yakifanywa faraghani sasa yanafanywa uwanjani. Pia sikatai kuwa enzi hizi kila kitu kimeingizwa katika "usanii" na "biashara". Sasa ikiwa watu wanadendeana "kisanii", wanauziana denda kibiashara, hiyo isiwe sababu ya kuamini kuwa denda ni "imported product".
 
<font color="#0000cd">

Hivi denda ni nini kama siyo kunyonyana ndimi kwa wapendanao?
Kwa nini watu wazima wako tayari kunyonyana ndimi na hata kuhatarisha maisha yao....
Jibu ni kuwa wanapendana na hawana namna nyingine ya kuonyeshana ya kuwa wanapendana
Wengineo hupeana denda ili kuwashawishi wenzio wawape watakacho kwa kufanya hivyo ni hila..
Ni kweli denda lina ujumbe mzito..

Yupo nguli wa muziki wa zamani kule majuu ya UK
Yeye (Right Said Fred) alitunga wimbo mwaka 1991 na kuuita
"Don't talk just kiss........."
Ujumbe wake ukiwa wewe m'mwagie madenda motomoto na mengineyo yatajipa tu.....
Usiongee na acha domo kaya kwenye mahaba kwa sababu utakaribisha ubishi usio wa lazima..
Ni kweli denda lina ujumbe mzito........

Kama denda limechukua nafasi ya kujibizana sasa ujumbe wa ukweli uko wapi?
Kama denda linatumika kuficha dhamira ya wahusika sasa mawasiliano ya kweli yako wapi?
Kama denda pia laweza kuwa ni hadaa sasa penzi la kweli utalijuaje?
Kama denda ni kiini macho mbona hutiliwa mkazo kuwa kutoa ishara ya mapenzi?
Ni kweli denda lina ujumbe mzito.........

Denda ni kizungumkuti hata korosi nenepa kusukumiwa nawe kulimeza bila mawengwe............
Karaha za kifua kikuu usizione kwa kisingizio nimependa.......
Tishio la magonjwa ya kinywa kutoweka kisa nimependwa........
Hamaki za kutapeliwa kufifilishwa na tamaa ya kupendeka na kukubalika..........]
Ni kweli denda lina ujumbe mzito........

Machaguo siyaoni kwani jamii imekwisha toa maamuzi..
Ya kuwa denda ni jeuri ya wapendanao na athari zake lazima kuvumiliwa na kubebeka.......
Mie sina kauli ila kuwatakia kila la kheri..........
Kwani tembo wapambanapo ziumiazo ni nyika......
Ama kwa hakika denda lina ujumbe mzito nami nauogopa.............sijui kwako denda limekaaje?

Sina maelezo mengi saana lakini binafsi denda linaniturn on.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom