Recent content by Maridhawa

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wazo la leo!..

    Kwa hiyo watu waoe/kuolewa na watoto wa matajiri tuu?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Sijui nimwambie

    Kama kweli hutaki mahusiano naye mweleze ukweli, unavyochelewa anaweza kudhani unataka lakini unashindwa kusema...hiyo ni hatari kaa chonjo kaka
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wana real love kuliko wanawake...

    Mnapenda sana mpira kuliko wapenzi wenu hadi mnachosha.....
  4. M

    JamiiForums Tanzania hajui lugha ya mapenzi

    Inawezekana mke anapenda kuambiwa kwa maneno,amwambie tuu au yeye ndo anaona aibu kusema anaomba? Kuombwa pia kuna raha yake
  5. M

    JamiiForums Tanzania we need business partner

    MOI hakuna madaktari bana,mbavu zangu lol
  6. M

    JamiiForums Tanzania we need business partner

    Bado biashara/maduka yapo au mmeshayafunga mnataka kuhamia kwingine?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Maandamano makubwa ya kumpokea king dk.steven ulimboka jangwani

    Wewe kwa ujasiri wako umeshiriki vipi kwenye hili?umeandamana ukakosa washiriki?
  8. M

    JamiiForums Tanzania UN has rejected Doctor's (MAT) Request

    Ni kweli hauhitaji madaktari?huwa unatibiwa wapi wewe na familia yako?sidhani kama unafahamu haki zako za msingi na wajibu wa serikali kwako wewe mwananchi
  9. M

    JamiiForums Tanzania A picture speaks a thousand than words...

    kazi ya ukweli sana
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuharibika kwa Mimba: Fahamu Sababu, Kinga na Tiba za tatizo hili

    Hakuna sababu moja maalum inayoleta tatizo la mimba za umri mdogo kama huo kutoka. Nakushauri muonane na daktari,hasa wa magonjwa ya kinamama ili aweze kupata historia nzuri ya utokaji wa kila mimba na awezepata matibabu sahihi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Aliyetayari kufanya kazi kwa muda wake wa ziada

    Kazi gani?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Eti mama anayenyonyesha anaweza beba mimba kama akikutana na mwanaume kimwili?

    Inawezekana kabisa kupata mimba wakati wa kunyonyesha, apime tena akiwa na wiki 8 kama walivyoshauri wengine. Kuhusu kunyonyesha akiwa na mimba nalo pia anaweza kuendelea kama ataweza kula vizuri vyakula vitakavyomletea afya bora kwa ajili yake,mtoto anayenyonya na aliyeko tumboni(hakuna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Hodi wanajamiii
Back
Top Bottom