Recent content by Mareth

  1. Mareth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio katika ' long distance relationship ' msidanganyane na ukweli ni kwamba kwa 99.999% wote huwa ' mnasalitiana ' huko mbali mliko!

    Write your reply...Sio kila mtu yuko hivo, kama huwezi kumsubiri mwenzio wengine wanaweza. Hiyo ni tabia ya mtu mmoja mmoja na si wote.
  2. Mareth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5 benefits of dating a rich guy

    Hahaaa wewe born-town utawakubali watoto wa huku kijijini?
  3. Mareth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5 benefits of dating a rich guy

    Pole.... Vp nikutafutie huku au utakomaa na hao wapenda pesa?
  4. Mareth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 5 benefits of dating a rich guy

    Pacha, achana na hao wa mjini uje kuoa huku kijijini kwetu maana wadada wa huku hawaangalii pesa bali mapenzi ya dhati
  5. Mareth

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    Pacha inaelekea u mcha Mungu
  6. Mareth

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    Hata sielewi pacha wangu
  7. Mareth

    JamiiForums Tanzania New member

    Kumbe umeshamuona muoga sasa kwanini unamzidishia hofu badala ya kumwondolea hofu ili ajisikie yupo nyumbani?
  8. Mareth

    JamiiForums Tanzania If your life was a book, What would the title be?

    "A STONE IN MY SHOE"
  9. Mareth

    JamiiForums Tanzania Ini na ngozi ya samaki huyu hutumiwa na wachawi kuchukua watu misukule

    Kwanini umebaki mdomo wazi?
  10. Mareth

    JamiiForums Tanzania New member

    Usimtishe mgeni wetu bwana. Karibu mwaya mgeni wetu. Ujisikie uko nyumbani.
  11. Mareth

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

    Nitakuja ila usije kunianzishia thread humu eti nilikuchafulia gari mpaka ukaamua kunifuta miguu
  12. Mareth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aina za hasira za wanawake

    Bahati nzuri sana huwa sikasiriki kirahisi. Kwahiyo ukitaka kunikera ujipange kwelikweli
  13. Mareth

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

    Huo usamaria wema wako unaufanya kwa kila mtu au utaufanya kwangu tu?
  14. Mareth

    JamiiForums Tanzania Kuna vitu vinakera: Viatu vina matope

    Yaani nikatae lift ya gari nije kupanda lift ya baiskeli? Hahahah asante ndugu,wacha nipambane na tope langu
Back
Top Bottom