Recent content by MAREKANI

  1. M

    Tayoa

    Tupe link mbona haifunguki
  2. M

    CCM Inajiandaa kukabidhi nchi kwa CHADEMA-Lwaitama

    Hizo ndio tathmni za kisomi sio mtu anasema tu tumeshinda kata 16.Cha kushangaza ccm wamekuwa vipofu hadi maproffesa wao wanashangilia baada ya kusikitika.Sikio la kufa.....
  3. M

    acheni baadhi yetu waichukie CHADEMA

    Huwezi zuia mabadiliko kwa mabomu.watu wamefikia wameamua yatosha.
  4. M

    VIDEO: Mlipuko wa Bomu Arusha - Sehemu ya Kwanza...

    Ipo siku,Yote yanamwisho.
  5. M

    Nchimbi na Mwema Wang'oke... hata Vuai?

    Kuna huyu jamaa anaitwa kunduro bompwa anaharibu mada maana hajui hataachokiandika.hivi ukibishana na huyu jamaa naona unapoteza muda.mzee mwanakijiji msamehe tu kuna watu wapo duniani lakini hawajui kwa nini wapo
  6. M

    Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

    Kweli Dr.Slaa amewakamata hadi inafikia hatua Lumumba kuajiri vijana wasiojua nini wanakifanya ni aibu sana.Kuna mtu akilala akisikia tu Dr.Slaa usingizi unaisha
  7. M

    Dr Slaa: Mtwara wamepuuzwa!

    Huwa nashindwa kuchangia maana kuna watu wana id zaidi ya tano we angalia hata comment zao.hivi unajisiaje unapochangia pumba pekeyako page nzima na kujijibu.hata kama umetumwa inachosha sana
  8. M

    Dhana ya Demokrasia katika Afrika:Mada ya Star tv asubuhi hii

    Nimemdharau sana Yahya Mohamedi hii yote ni kutokana na aina ya watangazaji tulionao.Amekuwa na fikra mgando kiasi kwamba anaona watu muhimu ni hao hao ambao wanauwezo mdogo kiuchambuzi.Sikulaumu pengine ni maagizo toka kwa bosi wako maana ulikuwa unafurahi pumba za akina Ruuza.Ilitokea baati...
  9. M

    Haya wana CHADEMA kanda ya Ziwa Mashariki ombeni kazi ya uratibu, uafisa na udereva

    Bora wameweka wazi sio wale wanaochaguana kwa kuangalia baba yako alisaidia vipi Tanzania kupata uhuru au alikuwa nani miaka ya 1961....
  10. M

    Mhariri anayeichafua CHADEMA asimamishwa na Jukwaa la Wahariri

    Kuna haja kuweka sheria kila mwandishi wa habari awe na degree.
  11. M

    Kufilisika kisiasa kwingine kunatisha!

    Mbona Nape anashindwa kujibu hoja.Mimi nasikitishwa na kauli za Nape lazima ziwe na kejeri, kwa sisi wasomi mtu hata kama humpendi vipi lazima uheshimu elimu yaka.Kama ni Dr utamuita Dr kama ni professor Utamuita ivyo.Kwa kauli kama hizo za Nape mimi napata mashaka na vyeo mnavyopewa.Nikiangalia...
  12. M

    SHEKHE Ang’aka; Asema CHADEMA si Chama cha Wakristo

    Hata CCM wakisema nini nimeshafanya maamuzi teyari ni nani nitampigia kura 2015 bora uzima.
  13. M

    Ni kweli nilikuwa mwenyekiti wa CHADEMA lakini sijawahi kuwa na kadi ya uanachama ya CHADEMA

    Ila mimi nikifikilia vitu anavyoandika huyu jamaa huwa najiuliza kama mzima kiakili hata kama huna kazi ya kufanya changia tu uzi wa wenzako kuliko pumba kama hizi.Mbona wenzio wanaandika mambo ya msingi ya kulimishana mfano akina Mzee mwanakijiji na wengineo.Siasa za kizamani kuchukua mda...
  14. M

    Lilikuwa Wazo la Nani kumshtaki Lwakatare kwa makosa ya Ugaidi?

    Hakuna wakati ambapo ofisi ya DPP inachezewa kama wakati huu.Kwa mtu yeyote mwenye ufahamu form six anaweza akajua sifa ya mtu kuwa gaidi anatakiwa aweje na awe ana malengo gani?.Ilikuwa haiitaji mwanasheria kwa sababu ofisi ya DPP ilikosea toka mwanzo na kwa vyovyote vile mahakama kuu ilikuwa...
  15. M

    Napendekeza; Mh Mrema na Wastaafu wa Wakuu Polisi na JWTZ wawe washauri wa wizara ya mambo ya ndani

    Nakushauri endelea kubeba box maana muda unaotumia ungekuwa umepata hata$ moja..Ushauri wako wa kitoto nahisi hata elimu yako itakuwa chini sana.
Back
Top Bottom