Recent content by marcus gray

  1. marcus gray

    Mimi naona dunia iachane na mfumo dume na rasmi 50/50 ishike hatamu

    Hivi hawa viumbe wanaosema 50/50 wanajua kweli nini wanaka ama kisa tu mtu una bando na simu unamua kupost.? Hivi ikitokea vita leo kwa mfano, hapa tz itakuwepo hiyo 50/50 au ndo yale yale ya Ukraine kwamba hivi viumbe vidai usawa na watoto huwa huondolewa kwanza na hapo hutoskia huu ujinga wa...
  2. marcus gray

    The truth for youths about Forex business

    1. Keep it simple, Choose one trading pair focus and master it. 2. Experince is everything, reading books won't get you any invaluable skills. keep trying and failing till you get there( use demo account) or real money which is way better to keep you in check. 3. Choose one strategy and tune...
  3. marcus gray

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    lodllwxr3j .
  4. marcus gray

    China kuanza kutumia Mwezi wake

    Nice lakini umechukulia tuu general, ukitaka kujua ukweli utashaangaa..tafuta kuhusu hallow moon theories, dark side of the moon na other irregularities ktk solar system yetu mfano moons of jupiter ambacho naona ndo wachina wanacho jaribu kufanya..and its possible. Tafufa pia about the race to...
  5. marcus gray

    Unasikiliza wimbo gani sasa hivi?

    Body language - Vybz kartel
  6. marcus gray

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Siku ya leo tunakaribisha weekend kwa bashasha
  7. marcus gray

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Wazuri walikuepo zamani Sent using Jamii Forums mobile app
  8. marcus gray

    Ushauri: Nakusudia kumtimua Mke wangu aende kwa Mshauri wake

    [emoji38][emoji38][emoji38] daah sometimes nashindwa kuwaelewa hawa viumbe..ni changamoto sana kuishi nao..mvumilie ndo mkeo huyo, hao huwa haelewagi utasema hadi unachoka mwenyewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. marcus gray

    Ushauri kuhusu ununuzi wa magari

    Subaru zina historia ya gasket ku leak kwa engine adi mafuta kuchanganyika na maji kwa baathi ya matoleo lakin...apo uki base kwa mafuta mana siki zote ndo mchawi chukua allion au premio maana ni sawa from 2010 allion na premio 2007 kuendelea mana kwa sura ni nzuri na comfortable pia,hazinywi...
  10. marcus gray

    Toyota IST na Toyota ALLEX ipi bora

    Na pia kama unanunua kwa mtu angalia sana service plan yake ipoje na alikua na matumizi gani nalo usije ingia cha kike..kuagiza ni vizuri japo inabidi uongeze kidogo apo walau 14m ivi kwa hapo uhakika unapata kitu maini kabisa as of odometer 22,000km au below Sent using Jamii Forums mobile app
  11. marcus gray

    Toyota IST na Toyota ALLEX ipi bora

    Allion ipo fresh zaidi ina more space lipo stable kwa barabara na ukizingatia service mzee utakaa nalo adi ulichoke,kuna jiran yetu flan apa wanalo wao kazi ni kuweka wese tu..mwaka wa 7 huu ipo fresh wala haijawah leta shida mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom