Recent content by marcoveratti

  1. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania YouTube kwisha Habari yake imepata mpinzani balaa

    wanacho feli wachina wnalazimisha kutuaminisha kuwa kila mtu anajua kichina
  2. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Bruno Fernandes: The Benchmark of the Modern Attacking Midfielder

    Wanasema kitabu cha Wakorintho kilieleweka zaidi na Wakorintho wenyewe kuliko kilivyosomwa na watu wa Efeso, kwa sababu anayebeba uzito wa jambo fulani ndiye anayejua kina chake kuliko anayelitazama akiwa mbali au kusimuliwa. Labda hiyo ndiyo sababu kumuelewa Bruno Fernandes kunahitaji zaidi ya...
  3. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Swali: Makamu wa rais akijiuzulu rais anatakiwa afanye nini?

    Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi ya Makamu wa Rais inapokuwa wazi, utaratibu unaohusika ni kwamba Rais anateua mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais, na uteuzi huo unapaswa kuthibitishwa na Bunge kwa kura ya wabunge walio wengi. Hii inaendana pia na muundo wa uongozi...
  4. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ni Dunia ya Jude, na Wote Tunaishi Humo

    Kuna nyakati chache katika historia ya soka ambazo dunia haichagui kwa kura, bali inakubaliana kimya kimya. Hakuna mkutano unaoitishwa, hakuna tangazo linalosomwa, lakini macho ya mamilioni ya watu huanza kuelekea sehemu moja. Ni kama vile mchezo wenyewe unasema: "Tazameni huku, kuna jambo...
  5. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ballon d'Or haitupi Mchezaji bora mara zote

    sre
  6. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Ballon d'Or haitupi Mchezaji bora mara zote

    Kila mwaka, Dunia ya soka husimama kwa dakika chache. Sio kwa sababu kuna fainali ya Kombe la Dunia, Sio kwa sababu kuna Clasico, wala sio kwa sababu kuna usiku mwingine wa kichawi wa Ligi ya Mabingwa ulaya. Ni kwa sababu kuna tuzo, usiku ambao furaha ya mmoja hugeuka hasira ya mamilioni ya...
  7. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

    umekula?
  8. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Utata wa DNA Wamfikisha Jérémy Doku Kwenye Talaka?

    Mitandao ya kijamii imesheheni madai yanayodai kuwa nyota wa Manchester City na timu ya taifa ya Ubelgiji, Jérémy Doku, amefungua talaka dhidi ya mke wake Shireen baada ya kile kinachodaiwa kuwa matokeo ya kipimo cha DNA. Hata hivyo, Sasa hakuna ushahidi au taarifa kutoka kwa vyombo vya habari...
  9. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    kwasababu watu walikua wana shangilia sanaaaa kupita kiasi
  10. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania MwanaFA azomewa na wananchi baada ya kuanza kusifia Awamu ya 6 kwenye Tamasha la miaka 30 ya Bongo Fleva

    Baada ya kishundwa kutuvuruga kwenye skukuu zetu za kitaifa , sasa wame hamia kwenye matukio ya burudani sasa mtu mzima na akili zake anakuja na hoja kwamba MWANA FA amzomewa kitu ambacho zio kweli , unaweza kuona mwenyewe jinsi hawa watu walivyo desperate kutu ingiza kwenye propaganda zao za...
  11. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Biashara Yako Bado Haina Website? Wateja Wengi Wanakutafuta Mtandaoni na Hawakupati! Website Kamili Kwa Tsh 300,000 Tu (Domain + Hosting Vimejumuishwa

    Tusiwe tunaweka comment za kuharibu biashara za watu, kama hauko interested basi usi discourage , AI haina uwezo wa kutengeneza website inaweza kutengeneza materials ya kukufanya upate website eg front end design na template Database design hivi vitu vyote vinahitaji developer kuanza...
  12. marcoveratti

    JamiiForums Tanzania Kwa Nini Marvel Inaonekana Bora Kuliko DC Katika Ulimwengu wa Filamu

    Kwa zaidi ya muongo mmoja, Marvel Studios imefanikiwa kujijenga kama kampuni inayoongoza katika utengenezaji wa filamu za mashujaa duniani. Ingawa DC ina baadhi ya wahusika maarufu zaidi kuwahi kuundwa kama Batman, Superman na Wonder Woman, bado Marvel imeweza kutawala soko la filamu kwa kiwango...
Back
Top Bottom