Recent content by Marcostilone

  1. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa jambo hili kuhusu matumizi ya dawa za Presha

    It’s a lifetime commitment mdogo wangu. Unazeeka nazo bega kwa bega.
  2. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Maisha yana surprises nyingi sana

    Hujakosea hata chembe ndugu yangu. Hizo wanazoita surprises ni uvivu tu wa watu kutofuatilia details. Kila mtu anavuna alichopanda, hakuna cha ziada. Ni hesabu fupi sana ya logic versus wishful thinking.
  3. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Natamani kuwepo na makongamano ya self awareness ya kusaidia vijana kujua sababu kuu ya ukapuku na fujo zetu ni sisi wenyewe watu weusi.

    Facts tupu mzee, hii tabia ya victim mentality ndio ugonjwa wetu mkuu waafrika. Kila tunapofeli kiuchumi au kisiasa, haraka sana huwa tunatafuta mchawi wa nje mara mabeberu, mara benki ya dunia. Lakini huwa hatujiulizi, hawa viongozi wetu weusi wanaoficha mabilioni kwenye akaunti za nje huku...
  4. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Al Hilal inamfukuzia Kane Bayern Munich

    Saudi Pro League sasa hivi inajaza wastaafu tu.
  5. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Unatafuta wasaidizi wa Kazi, jitahidi upate mrundi at your own risk

    Warundi ni wachapakazi kwa sababu hawana pa kukimbilia.
  6. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Yule waziri mkuu wa kupachikwa na ziara zake yuko wapi?

    Anapunguza stress za kukataliwa.
  7. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Hizi story kuwa Nabii Tito atunae ni za kweli?

    Hana faida yoyote kwa jamii hata akifa.
  8. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Wasomi, walimu wa vyuo vikuu wanadhihakiwa na Mwijaku kuwa hawana hela na wana njaa

    Hii ndiyo definition halisi ya nchi iliyopoteza dira.
  9. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Watoto 12 wa YAKOBO ni WAAFRIKA....siri imefichuka,,,,,,

    Facts don’t care about feelings.
  10. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Watanzania munaopenda haki acheni kuwaamini kirahisi wanasiasa wakongwe,na waliotisheka kuiba wanapodai wako upande wenu

    Hoja yako ina mantiki lakini ina uelekeo wa kufikirika sana.
  11. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Kenani: CCM ni chama cha kidemokrasia, kinachopeleka maaendelea kwa jamii

    Kazi waliyonayo ni kuwa machawa tu wa mfumo.
  12. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Ukisimama nchale ukiinama nchale

    Mambo ya kuvuta muda is not an option kabisa safari hii.
  13. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye makalio makubwa hawapatani na wanaume wenye mafanikio makubwa sana ?

    It's a matter of target market na sio kwamba hawapendi.
  14. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania Natabili wakili MADELEKA anaweza pata UWAZIRI

    Mfumo wetu una tabia ya kula na adui yako, hivyo Madeleka akitua huko itakuwa just another Tuesday mbona.
  15. Marcostilone

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ally Hapi: Kauli ya Mary Chatanda kuwafuta CHADEMA ilikuwa ni tambo tu za kisiasa

    Context gani asiyoijua kwani?
Back
Top Bottom