Ilishawahi kunikuta hii ni vile tu Nina moyo wa uvumilivu na kuzuia hasira, hapo Mwanamke asingekuguswa ungesikia "mbona hujanigusa kama ww mwanaume kweli au unaniogopa"
Waulize Iran alipo baba Yao Ayatollah
Waulize Hezbollah alipo Hassan Nasrah na shoga zake.
Waulize Hamas alipo Ismail Hanniyah, Mudi Deif, Abu Obeida na Sinwar
Ukipata majibu ndio utajua unyama wa Israel.
Sijapendezwa na jezi yake kupewa mtu haraka haraka hivyo ila hayo ni Matokeo ya ubishi na kiburui angestaafu mapema angepewa heshima yake kuliko aibu anayopata sasa
Alikuwa anacheza peke yake uwanjani, Kuna mastaa wengi walikuwepo hapo kabla yake, Eusabio, Deco,Figo,lui Costa nk.
Jamaa apumzike anatia aibu uwanjani hata Kmc hapati namba kwasasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.