Recent content by Marco Makamba

  1. Marco Makamba

    Mijadala ya Mawazo na Michanganuo mbalimbali ya Biashara na Uchumi kwa Ujumla

    Ninahitaji kuanzisha biashara ya saluni ya kina Dada .shida yangu ni wapi naweza pata vifaa vizuri na bei zaketafadhari
  2. Marco Makamba

    Wapi naweza kupata vifaa vya saloon ya kike?

    Comreds ninaomba kujuzwa niwapi naweza kupata vifaa Bora vya saluni ya kina dada. Pamoja na bei ikimpendeza. Ahsante Kwa ushirikiano.
  3. Marco Makamba

    cost analysis ya kilimo na biashara ya mhogo.

    Wakuu mie pia ningefurahi kama nitapata elimu hii maana napenda lakini cijui pakuanzia
  4. Marco Makamba

    Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Kwa uelewa n kama wote wanafikiria kama mtoa mada...nikweli na tutazidi kudidimia haswa....haiwezekani wasomi mkawa watu wakulalama tuuh
  5. Marco Makamba

    Vyuo vya Tanzania vyafanya vibaya kwenye Takwimu za kimataifa

    Muda mwingine na wewe jitaidi kufikir tofauti... Usiulize Tz imekufanyia nini jiulize Tz umeifanyia nini... Pia ninani anpanga ranking mpaka akuweke juu yeye awe chini..kwan una jua vigezo wametumia katika upangji ...au kila kitu ndio mzee ucipate hata kiuliz sehemu yeyote......kwaakili hii ya...
  6. Marco Makamba

    TCU: Wasiokuwa na Sifa Walipenyezaje CAS? Au walidukua mfumo?

    Hapana sio kweli labda kwa diploma na sio bachelor degree
  7. Marco Makamba

    Value Renention Fees ni wizi wa dhahiri wa Bodi ya Mikopo

    nishidaaaa na unapo lipia mkopo huu ambao unasaidia wengi ni asilimia ngapi wanakata .
  8. Marco Makamba

    Ni kweli mwanaume akishikwa na ngiri sio rijali?

    I don't think kama hko ndicho kipimo cha urijal if yes basi 99.99 ya Tanzanian men cio rijali unabishaaa.
  9. Marco Makamba

    Vodacom wapandisha bei ya vifurushi

    Bora tigo na university offer
Back
Top Bottom