Recent content by march85

  1. M

    La Mbowe limewashinda,la CAG mtaliweza wapi enyi wanafiki?!

    Punguza jazba ndugu, kunywa maji upooze fukuto la joto
  2. M

    Hivi Chadema huwa hawana hoja?

    Kama mtu kanya, kakojoa, kajamba, kaiba, amegongwa hayo yote ni matukio tofauti tofauti ni lazima yazungumzwe kwa kutofautishwa
  3. M

    TUCTA watumishi wamekaa miaka mitatu bila kupandishiwa mishahara halafu leo mnawaambia waandamane kumpongeza Rais!

    Hao wanaoenda kuandamana ni makada wa chama cha mashauzi chini ya mwamvuli wa utumishi ,sisi watumishi hatuna akili finyu kiasi hicho
  4. M

    KOROSHO NGOMA NZITO: Wakulima Watinga ofisini kwa Mkuu wa Wilaya kudai malipo yao

    kufanya kazi sio tija kwani hata wehu hufanya kazi ya kuokota makopo jalalani huku motto wao ukiwa hapa kazi tu, kwani huifanya kazi hiyo kila siku kwa bidii na hawana likizo
  5. M

    Hali bado ni tete kwa Wakulima wa Korosho

    Msihofu, jiwe atakuja kuwalipa mwenyewe hizo hela huku tbc ikiwa live, siku hiyo kutakuwa na burudani kutoka kwa bendi yetu ya chama watauimba ule wimbo wetu maarufu wa CCM mbele kwa mbele
  6. M

    Ole Sendeka: Marufuku vyama vya upinzani kufanya vikao mkoani kwangu

    Sheria ipi imezuia mikutano ya hadhara
  7. M

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Ile shule wamesoma watu wazito wengi ambao wapo serikalini e.t.c lakini imechoka mbunge awatafute watu waliosoma pale wasaidie kuboresha majengo hususani nyumba za walimu na madarasa
  8. M

    Jimbo la Mlalo: Taarifa ya maendeleo toka Ofisi ya Mbunge

    Una mpango gani wa kumalizia maabara ya shule ya sekondari ya Rangwi? Inaonekana dhahili kuwa wananchi pumzi imekata
  9. M

    Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?

    Hiyo chadema ni nchi kwamba hatuwezi kuwapata watuhumiwa kwa sababu wamekimbilia huko?
  10. M

    Peter Msigwa: Kumbe sio Kila John ni Yohana

    😂😂😂😂 jibu sahihi, kwa mtu sahihi kwa wakati sahihi
  11. M

    Mkuu Wa Wilaya ya Mufindi azuia zoezi la Uchaguzi wa Ndani wa CHADEMA Jimbo la Mafinga kinyume cha Utaratibu na Sheria

    Kama imekufa ya nini kuiogopa? Angalia isijekuwa kuwa wewe ndio ubongo wako umekufa
  12. M

    Watanzania tukitulia tunaweza kuwashinda Umoja wa Ulaya na Marekani kwa mbinu

    Kwamba Urusi iingie vitani na marekani kisa Tanzania?
  13. M

    Ukerewe: Hakimu apiga marufuku majengo ya umma kutumika kisiasa

    Nilipoona kichwa cha habari tu moja kwa moja nikajua watuhumiwa ni lazima wawe wapinzani
  14. M

    Wimbo mpya wa Ali Kiba 'KADOGO': Toa Maoni na ushauri wako hapa

    Maskini wana chuki sana ndio watakaojazana jehenam
Back
Top Bottom