Hivi Chadema huwa hawana hoja?

Kwa akili yako kama huyu samaki lazima wewe ni shithole
tapatalk_1544202903906.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungewauliza ccm wakuu kwanini walikataa bunge lisiwe live?

Pia kama ungekuwa unafatilia bunge vizuri ungeweza kukaa kimya. Mbatia alikuja na hoja ya elimu mkamuona mjinga
 
Mala Kikokotoo, mara CAG, Mala risasi 38, Mala Demokrasia imeminywa, Mala wabunge wamenunuliwa, mala operation sangara, mala M4c , yaani ni ujinga ujinga tupu. Lini Chadema wataongea hoja zenye tija?

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM ikimaliza matatizo yake na kufanyia Kazi mapungufu yake ya Msingi yanayowakera Watanzania wengi wenye akili timamu na zilizotukuka huku wakiwa ' Fair ' katika ufanyaji wa Siasa nchini na Kuheshimu Demokrasia na Uwazi huku wakiachana na Unafiki wa mara kwa mara na kukubali Kukosolewa ili Kijijenge zaidi huenda usiyaone hayo unayoyaita ' Mapungufu ' ya CHADEMA au Wapinzani wote kwa ujumla. Halafu ungekuwa umekomaa kabisa katika ' Medani ' za Kisiasa kamwe usingewadhihaki hawa Wapinzani hasa CHADEMA kwa Kuwaita Wajinga Wajinga watupu kwani hata hii CCM ya leo ambayo ipo chini ya Mwenyekiti Rais Dkt. John Pombe Magufuli na Katibu Mkuu wake Dkt. Bashiru Ally Kakurwa isingekuwa inajitahidi angalau kufanya vyema bila ' macho ' ya hawa hawa Wapinzani CHADEMA ambao wamekisaidia kwa kiasi Kikubwa Chama cha CCM kujitathmini na kujirekebisha. Tuwapinge Wapinzani ila tusisahau pia Kuwaheshimu kwani hakuna aliyejua kuwa Chama Kikongwe nchini Kenya cha KANU leo hii kingekuwa ni ' Historia ' huko kwa Wakenya na si hapo tu bali hata nchi nyingi tu tumeshuhudia ' mabadiliko ' mengi kutoka katika vile Vyama Tawala / Vyama Vikongwe katika ushikaji wa dola / mamlaka.

Nasubiri kusikia kutoka Kwako au kwa Wenzako kuwa Mimi GENTAMYCINE ni Mpinzani au mwana CHADEMA au natumika nao au ni Msaliti kwa hiki nilichokiandika hapa kwani kama ni ' Udhaifu ' mkubwa nilio nao na ambao mara kwa mara umekuwa ' ukinigharimu ' na kunifanya hata ' nichukiwe ' ni tabia yangu ya kuwa Muwazi, Mkweli na siyo Mnafiki katika Mawazo / Mitizamo yangu na nitakuwa hivyo hadi naingia kunako ' Mavumbini ' Siku yangu ikifika.
 
Toka tupate uhuru, hakuna kiongozi aliyewahi kuiba pesa nyingi kama Jiwe. Eti tril. 1.5 za wavuja jasho zipotee hivi hivi. Prof. Asad tafadhali endelea kumdhalilisha huyu fisadi hata avimbe na apasuke kabisa.
 
Kama mtu kanya, kakojoa, kajamba, kaiba, amegongwa hayo yote ni matukio tofauti tofauti ni lazima yazungumzwe kwa kutofautishwa
 
Haswaaa hiyo ndio kazi ya chama cha upinzani makini kama CHADEMA. POLE KWA KUBANWA NA HOJA ZA CHADEMA. JIKAZENI MTAKOMAA KUWAWEKA NDANI HAKUSAIDII
Mala Kikokotoo, mara CAG, Mala risasi 38, Mala Demokrasia imeminywa, Mala wabunge wamenunuliwa, mala operation sangara, mala M4c , yaani ni ujinga ujinga tupu. Lini Chadema wataongea hoja zenye tija?

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unawashangaa cdm hawana hoja, lakini wanayojadili ni mambo haya haya yanayoibuka kwenye jamii. Ungefungua uzi wa kujadili viwanda au uchumi ili tuje tuwaone wanaccm mmejazana mnajadili. Lakini kumbe ndio nyie nyie mko kwenye mada hizi hizi na kibaya zaidi hamna hoja. Mmezoea kubebwa na vyombo vya dola, humu hivyo vyombo havipo ndio maana mnateseka.
 
Tatizo huyu dada sijui tumsaidiaje, maana kwa hiyo ccm wakishambulia upinzani wasikabe au upinzani ukishambulia ccm wasikabe, hiyo itakuwa siyo game, yaani wewe kama utakuwa unalipwa kwa post hizi, hii basi itakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kikokotoo hakikuuundwa na kutuletea maandamano? CAG hajasema mmjengo umekua dhaifu? Masasi 38 hayakurindima mchana jijini Dodoma kama kule Kivu ya kusini? Demokrasia ipo? Oparesheni sangara M4C haijamuopopesha mtu?
Hoja zenye tija ni tri 1.5 tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom