Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?

Si wanakimbilia chadema, huwajui na chadema ilikuwa inawaita mafisadi.

Nikukumbushe kwa video?
Kwa hiyo wakikimbilia chadema wanapata Kinga ya kutoshtakiwa? Bora mnyamaze kimya tu. Mahakama yenu ya mafisadi ya kazi gani kama kuwashtaki mmeshindwa? Na hao mliobaki nao kina chenge pia hamuwawezi?
 
35199150_253796205185273_5799617880228102144_n.jpg
 
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Yaani we jamaa utafikiri umeingia kwenye mawazo yangu. Yaani viongozi wanalalamika utafikiri watoto wanaolia na kutoa kamasi. Wanalalamika kwamba tumeibiwa, lakini hawatuambii waliotuibia na kutuchelewesha ktk maendeleo ni akina nani.
 
Kwa hiyo wakikimbilia chadema wanapata Kinga ya kutoshtakiwa? Bora mnyamaze kimya tu. Mahakama yenu ya mafisadi ya kazi gani kama kuwashtaki mmeshindwa? Na hao mliobaki nao kina chenge pia hamuwawezi?
Tumewapa onyo kama alilopewa Meya jana.
 
Yaani kama wewe ni mgeni Tanzania na hukuwahi sikia na hujui historia ya nchi hii.

Ikitokea ukawasili leo na kuanza kuwasikiliza viongozi wa serikali kuanzia Mh Rais,Mawaziri,Makatibu wakuu,wakuu wa mikoa,wabunge na madiwani hususani wa chama kinachotawala pamoja na viongozi wa chama kinachotawala,lazima utaamini nchi hii kuna chama kimeondolewa madarakani hivi karibuni na sasa tuna chama kipya kimeshika dola.

Maana viongozi wa Chama na Serikali wote wanasema nchi hii imeibiwa sana,imechezewa sana,tumecheleweshwa sana,sasa unajiuliza ni akina nani hawa?

Yaani ukiwatazama viongozi wetu wanavyolalamika unaweza amini wote walioifikisha hii nchi washasukumwa ndani,wanapishana kwenye kuta za mahakama kujibu tuhuma za kutuibia.

Haya mambo hayaaaa.

Kweli tumechezewa sana,tumeibiwa sana,tumecheleweshwa sana,sasa je waliotenda haya wapo wapi?
Nilidhani ungetoa attribution, copy and paste bila mention ya the original writer as if umeandika wewe ni theft tuu by the name of plagiarism.

Tuwatendee haki originators.
P
 
Aliyeuza hizo nyumba nadhani yupo chademana Ndo aliyenunua ile meli mbovu yaan Hawa chadema hawaaa
Kwa taarifa yako aliyeuza nyumba yuko pale jumba jeupe!
Na aliyepeleka kile kivuko kibovu jw nae yuko jumba jeupe!
Una swali?
 
Kwa taarifa yako aliyeuza nyumba yuko pale jumba jeupe!
Na aliyepeleka kile kivuko kibovu jw nae yuko jumba jeupe!
Una swali?
Mkuu mbona unaakili nzito hivi aisee vitu vidogo Kama hivi unashindwa elewa?
 
Mkuu hili ni swali zuri sana,hata mimi nimeliuliza mara nyingi,lakini hakuna majibu.Ni kama nchi haina mwenyewe hivi,kila mtu yuko kimya,hayatuhusu na kila tunaendelea na hamsini zetu.Watu hawa wapo katikati yetu,tunakula nao,tunawaona na wanakula butter.Sasa kwa nini wengine wasifisidi?Tabia hii ya kulindana itaisha lini sijui,maana hata JPM pamoja na kumsifu kote na ukali wake wote,naye anayo.Wapo waliouza madini yetu na viwanda vyetu kwa bei poa na ya kutupa,lakini tumeambiwa eti tuwaache wapumzike.Kweli jamani?Hapana, inauma sana.
Nchi hii haina mwenyewe mkuu-wewe ukipata nafasi piga-majority shida ni sehemu ya maisha yao so who cares?
 
Uone nini bila kuchukuwa hatua kwa wahusika ?!. Je leo waziri, kamishina au hata katibu mkuu wa wizara anaweza kuingia mkataba wa madini, Gas, mafuta etc bila ridhaa ya Rais ?! HAIWEZEKANI

Hivyo hata mikataba inayoiibia nchi mpaka sasa ilikuwa na mibaraka ya X Presidents . Wanasalimikaje je.
Hilo halitatokea hata Chadema ikiingia madarakani.
 
Back
Top Bottom