La Mbowe limewashinda,la CAG mtaliweza wapi enyi wanafiki?!

Mbona umeandika kimhemko kaka?
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NONSENSE!!!!!!
 
Mimi natamani sana wale jamaa nao wangekuwa na utaratibu wa kutoa press release kwa baadhi ya matukio! Kuna mambo makubwa yanaendelea halafu sisi laymen tunaona siasa tu.Kwa mfano, Mh. Esther Matiko ang'ang'aniwe kivile bila sababu za msingi, ana nguvu gani ya kisiasa? Kwa nini asiwe Msigwa? Mimi nimekuja kugundua kuwa yaani Watanzania huwa tunaona Siasa tu kila tukio, huwa hatuwezi kwenda mbali ya hapo! Kesho na kesho kutwa kwa mfano, wakisikia tuseme kwa mfano Mh. Msigwa au Sugu kaamua kuhama chama, watajua hata hiyo ni siasa, au wamenunuliwa. Jamami siasa ipo ndiyo na huwa inafanya yote yanayofanana na haya, lakini kuna baadhi ya matukio mengine yanatokea na kufanana na Siasa lakini siyo siasa, ni kitu kingne tu tofauti na Siasa. Inabidi tufike mahali akili yetu iwe na uwezo wa kuyaona MATUKIO AMBAYO SI YA KISIASA, ILA YAMEFANAN NA YA KISIASA, NA YANAFANYWA NA WANASIASA. Wamezuia mikutano ya ndani,..., siasa. Kalagabaho!
 
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!
Hakuna uoga hapo ni timing inatafutwa

Na ni bora iyo uoga kuliko uboya wa kupongeza kila kitu ngoja aombe tigo zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafisadi ya CCM yanatapatapa.

Sent using Sukhoi Su-57
 
Majizi yameumbuka, sasa yanahangaika kuanzisha mada za kujifariji!

Mmevuliwa nguo, ni bora mchutame tu.
Wewe umevuliwa chupi. Mwenyekiti wako yuko segerea ananyea ndoo wewe uko na Assad ambaye tarehe 21/01/2019 anahojiwa na kuomba msamaha na mambo yanaendelea kama kawa! CDM imekuwa ya matukio hivyo yakitengenezwa matukio 12 mwaka umeisha. TZ hakuna upinzani wa kuwapa changamoto CCM imebidi CCM yenyewe iwe inafanya review ya mambo yake. Upinzani chaliii
 
Ujizaniae umesimama angalia usianguke
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!

Ulivyo na hoja ya kipumbavu eti kwavile la Mbowe hatujalifatilia basi na la CAG tusifatilie?

Yaani dhambi inakua halali baada ya dhambi iliyopita?

Yaani unataka kutuambia two wrongs can maket it right?

CCM are porch monkeys!
 
Wewe umevuliwa chupi. Mwenyekiti wako yuko segerea ananyea ndoo wewe uko na Assad ambaye tarehe 21/01/2019 anahojiwa na kuomba msamaha na mambo yanaendelea kama kawa! CDM imekuwa ya matukio hivyo yakitengenezwa matukio 12 mwaka umeisha. TZ hakuna upinzani wa kuwapa changamoto CCM imebidi CCM yenyewe iwe inafanya review ya mambo yake. Upinzani chaliii

Duh

Halafu mtu kama huyu ndie tunaemtegemea atusaidie TZ hii kuelekea kwenye demokrasia?

Aisee mbona upo dishonest namna hii?
 
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!
Hili taifa tumepata hasara kubwa sana kwa MTU kama ww unaishi kwa mihemko kiasi hiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu sasa ni ujinga kama si uzwazwa!

Mda huu jambo ambalo mlipaswa kuonyesha kwa nguvu na namna hasa ya kudhihilisha matamko na nia zenu ni la kumpambania Mbowe atoke huko aliko.

Ajabu na kudhihilisha umburula wenu eti vile mulivyotuaminisha kwamba Mbowe kwa jasho na damu baada tu ya usiku wa mkesha wa tarehe moja mtaanza kuipambania demokrasia na wafungwa wa kisiasa lkn wapi!

Leo Assad ndiyo Mbowe?Leo CAG ndiyo mfungwa wa kisiasa!?

Narejea tena kauli yangu nyinyi hamna lolote zaidi ya kuwa watu wa mikumbo na vi-tukio!Bado sana katika kuyaishi na kuyaheshimu maazimio yenu.KIFUPI,NYINYI NI WAOGA ZAIDI YA KUNGURU!

Haya Mbowe endelea kupambana na hali yako wenziyo huku wako na Assad..hahahahaha!
Punguza jazba.

La Mbowe ni la Mbowe na la CAG ni la CAG.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom