Recent content by Marcelly

  1. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Utasikia uchumi mkubwa sijui nn hata shibe tu ni kiashiria cha uchumi mkubwa wao njaa kila mwaka
  2. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kundurenda kila kitu ni naipori sisi hapo ni Chuga wao hakuna sehemu inayoweza kubeba watu wengi kama hivyo kama sio naipori tena viongozi
  3. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Where is SA before post those none sense
  4. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hakuna namna ya kuwatuliza watu wenye njaa ni kuwadanganya tu
  5. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mm siku hizi napita nasoma comments hata ham ya battle sina tena maake ilasha kuwa ya kitoto ukiona mtu anaandika Ela badala ya Hela unatakiwa ujiulize najadiliana na nani kuna wengine hapa ilikuwa Mama anaupiga mwingi siku hizi siwaoni tena au ndugu zao walifyekwa 29# mambo ni mengi mzee...
  6. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Ila mawazo yako unataka yasikilizwe ila ya wengine hutaki
  7. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Inaonekana watu wanaotokea nyanda za juu kusini wanamuelewa sana idd amini mama siku hizi kuna mmoja hasemi mama kafanya sijui nn kimemkuta nae
  8. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://www.facebook.com/share/1D3jEzmqfs/
  9. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Baada ya miezi sita au mwaka watakuja na takwimu hapa kuwa wana umeme mwingi kupita nchi nzote za Africa Mashariki na hakuna hata mradi mmoja wa umeme wanao jenga kama unakumbuka ile ishu ya barabara ili wajipoze
  10. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Watasema bwawa ni la kwao halafu umeme hawana
  11. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    https://x.com/i/status/2087106820665979305
  12. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wamekwisha watanzania hawana huruma kwa sasa wazuie waone kitakacho zitukuta KBC kwa sasa ni mwendo wa kula kuku kwa mrija
  13. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Merry Christmas & Happy New Year 🎉
  14. Marcelly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    97.66 Unaapishwa kwenye kambi ya jeshi
Back
Top Bottom