Recent content by Maracana

  1. Maracana

    JamiiForums Tanzania Hatimaye RADIO E-FM waanza kurusha TV station yao

    Baada ya kuzuia bunge live ili 'tukachape kazi tu', nina hofu hewa ya kuzuiwa miziki minene ili tukachape kazi pia... [emoji44][emoji44][emoji44]
  2. Maracana

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

    Kadoda11 hapa sasa unaonekana kuishiwa hoja sasa. Screpa amekunyooshea maelezo vizuri tu na kukupa swali sensible. Mjibu basi mbona unaanza kupanic na kuvurumisha lugha za kejeli?
  3. Maracana

    JamiiForums Tanzania Mohammed Dewji vs S.S Bakhressa

    Hopeless! 'Umekremu' wewe, sio bure. Wanna discuss issues? Get this in your skull; issues and people are related, interconnected. There's absolutely no way in the whole wide world you can discuss social issues without discussing people. Don't be a sorry sight, huh?
  4. Maracana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wapi naweza kupata mkopo?

    Kwa anayetaka kujiangamiza yeye mwenyewe na familia yake 'kwa makusudi' na aende Bayport.
  5. Maracana

    JamiiForums Tanzania JamiiForums wakitoa ofa ya kumpa ban mtu mmoja, utamban nani?

    Lizaboni. Zero kabisa huyu mtu.
  6. Maracana

    JamiiForums Tanzania Hawa Jamaa ni wakutumbuliwa kabisa

    Umeme wa Kibulang'oma ni shida sana. Hivi Gerson hajaripoti tu kwa mkuu wa kaya?
  7. Maracana

    JamiiForums Tanzania Video: Mwanafunzi mwingine akipigwa na Waalimu

    We ndo kilaza wa ukweli kabisa. Pointless. Zero brain. Ungekuwa nazo hata kidogo tu usinge generalize na kutoa conclusion kwa kutumia comments 6 za humu jf. Pole sana na kwa kweli kama upo mahali unalitumikia taifa basi we ni time bomb... hasara nje nje.
  8. Maracana

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Bara: Yanga vs Simba - Uwanja wa Taifa (1-1)

    Kima wa mataifa anashangiliaga kufungwa?
  9. Maracana

    JamiiForums Tanzania Mbowe afuta UKUTA, aibukia taifa

    Kitendo cha kushangaa Mbowe kujadili mawili matatu na Mwigulu, wakiwa michezoni, uwanjani, si dalili njema. Taafiti mbalimbali za kisayansi zimetufunza kwamba kuna tatizo kubwa miongoni mwa watu wenye umri kuanzia miaka 18 na kuendelea mpaka kuelekea uzee. Ni tatizo la watu kupatwa na...
  10. Maracana

    JamiiForums Tanzania Abel na Kaini (kizazi cha Adamu na Hawa); Je, wake zao ni kizazi cha nani?

    Ume panic bro
Back
Top Bottom