Recent content by Mara yetu

  1. M

    Njoo tulime tikiti ujikomboe

    Unapatikana wapi?
  2. M

    Mahafali ya CHASO Dodoma kufanyika tarehe 23 July 2016

    Hawa ni akili kuambiwa,nawahakikishia hakuna cha kuwezekana hapo
  3. M

    Askofu Josephat Gwajima akamatwa Uwanja wa Ndege wa Dar

    Ashughulikiwe kisawasa,apunguze uropokaji.
  4. M

    BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

    Hii ni mikwara tu!Mbowe mwenyewe kaogopa...sembuse hao watoto wadogo? Wataisoma tu!
  5. M

    CV ya Patrick Ole Sosopi

    Pumbavu!Ni ubunifu gani ulioona hapo?
  6. M

    Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    Kwan nani asiyejua kuwa LEOPARD TOUR ni kampuni ya lowassa? Machadema bakini na ujinga wenu.Na hiyo ni dalili tosha kwamba angeishika nchi,maskin tungetembelea matako. Mungu ni mwema!!!
  7. M

    Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    Magufuli bana hapohapo baba,naona sasa hata mabubu wanaongea... Walidhani utatumia dola kuwafikia kumbe ww unacheza tu na channel Yaan ww hatareee! Hata cku moja shetani habadiliki malaika...ushauri huo sii wa nia njema...
  8. M

    Lowassa amuambia Magufuli: Huwezi pambana na matajiri, hawa ndio wanaoleta viwanda na ajira

    Tayari mafisadi wamepaza sauti Sindano imewaingia
  9. M

    Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Twambie maneno ya uchochezi yaliyoandikwa,acha kuja na propaganda.
  10. M

    Dodoma: Viongozi wa BAVICHA Taifa wakamatwa kwa tuhuma za kuvaa T-Shirt zenye maneno ya kichochezi

    Naunga mkono jeshi la polisi kwa kuwadhibiti hao wahuni.
  11. M

    Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    Ipi hiyo ww?Tunakutaka ututhibitishie uhalai wa mikutano hiyo na pia ni shiguli gani walipanga kufanya,ndipo ufananishe na huu wa ccm kama hutoona tofauti kubwa. Siwakatazi kwenda dodoma,pengine labda mna makusudio ya kujitoa makafara kwa kuitafuta dola.Na hao viongozi waliojificha migongoni...
  12. M

    Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    Hapo hamna hoja yenye mashiko ya kunishawishi.Mikutano yote uliyoitaja hapo juu haikuwa na nia njema kwa taarifa za kiintelejensia na ndio maana mikutani yenu yenye tija kama;Ule wa CHASSO karemjee na ule wa CHASSO iringa,polisi hawakushulika dhidi yao na badala yake waliimarisha ulinzi kama...
  13. M

    Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    Ww wasema...ni utamaduni wa ccm kukabidhiana chama mara baada ya uchaguzi mkuu. Ndivyo ilivyo,ndivyo itakavyokuwa na c kwa matakwa ya BAVICHA.
  14. M

    Aliebuni wazo la vijana wa BAVICHA kwenda Dodoma Mungu ampe maisha marefu

    Sion kama kuna mwenye future ndani ya BAVICHA. Woote ni wavuta bangi,wala misuba na walevi uvibaraka,msipojiangalia mtaishia kubaya sana na hata mnachokilenga baadaye hata msikifikie. Yaan kwa kidhani kwenu,kwamba yupo mwenye akili timamu akasikitishwa na matokeo mabaya ya huo ujinga...
  15. M

    Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA J. Mnyika afafanua BAVICHA kuzuia mkutano mkuu wa CCM

    Upuuz mtupu...mm nikadhani kweli una taarifa ya mnyika kumbe mbwembwe tu!? Nyie jiandaeni vyema tukawachomoe nyonga sawasawa.
Back
Top Bottom