BAVICHA wamuasi Mbowe, waapa kwenda Dodoma

Ukawa wamewaharibu mpaka hivi navyo vinajiona ati vinaweza kutunisha misuli.
 
Waache waende ndipo watakapojifunza nidhamu ya democrasia kuwa kwenda kinyume cha seikali ni hasara
Natamani sana waende ili tuone jinsi baadhi watakovyo kuja ikumbuka hiyo siku
Serikali waibp ili iwapigie
 
Mbowe anataka kuanza kupambana na pesa? Mbona hatusikilizwi!!!!

Lowassa vs Mbowe = Money is proportion to death.

Hii ni kazi sana. Mpaka akili zijue kuwa jamaa anamiliki hata CHASO na BAVICHA.
 
Vijana hawapaswi kupinga kauli za wakubwa wao,vinginevyo itakuwa ni ukambale kila mtu kujiona na ndevu.
 
Bavicha tokeni msituni, vueni magwanda, cdm si ile iliyowakuza. Imepata viongozi wapya wasiovaa magwanda na viongozi wenu mnaowafahamu wame-slim. Si wale tena, sasa hivi wanaongea lugha tofauti. Nabii mzee ruksa alichungulia akaeleza hii si cdm bali ni ccm B. Inadhihirika sasa. Kama alivyo baba (ccm A) ndivyo alivyo mwana (ccm B).
 
Waende....na wanahabari wajipange huku wengine tusipitwe na matukio...muende na drones za kutosha.
 
Intelligensia zimeshanasa tishio la kuwepo fujo za Bavicha. Bila shaka wanaosimamia masuala ya usalama watatimiza wajibu wao. Mikutano mingi ya kisiasa ilishafutwa katika mazingira haya. Mifano ipo mingi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom