Recent content by Maque

  1. M

    JamiiForums Tanzania Uchumi na janga la Korona!

    Kiuhalisia janga hili zaidi limeathiri wajasiriamali wadogo wadogo, watumishi tuambueni mmeathirika kwa kiwango gani kama ni mwadilifu kazini, usije tuambia kuna ziada wakati unasubiria tar 30, naomba uzoefu bila povu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakina Nani walichoma bendera za CUF?

    Wanafutiwa CUF ya Maalim Seif [emoji50]
  3. M

    JamiiForums Tanzania Shivji: Jamii inayomzuia mjamzito elimu inadhalilisha kila mama na mtoto, mjamzito ni mama mtarajiwa

    Hakumaanisha watoto wafyatue watoto.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Binadamu wapya wagundulika sayari ya Jupiter

    Huyo alikuwa nae guest wakati wa picha, huwenda kazuiliwa makinikia yake huko,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Motor Road Licence:Wadau,Nifanyeje?

    Mh. Mwigulu amesema jana hata magari yaliyokamatwa kwaajili ya road license yaachiwe, wewe a kwanini ukamatwe? Sukuma ndinga
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ada za tozo Tanapa kuanzia Julai mosi

    Mlima Kenya unalipa $80 x3= $240 na utakaa hifadhini kwa siku nne, tozo hiyo iko na malipo ya kupiga kambi, endapo unatumia vibanda malipo ni kati ya $12-$25 kwa siku. Hakuna msururu wa kodi au tozo zaidi. Huo ni mfano mojawapo tu. Mbugani pia hoteli zao zipo chini sana na zaidi ukitumia Manyata...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ada za tozo Tanapa kuanzia Julai mosi

    Naomba nikusaidie kidogo, Kilimanjaro tozo $70 kuingia, kambi $50 na nyumba kwa njia ya Marangu ni $60 kabla ya kodi, hebu endelea hapo sasa.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ada za tozo Tanapa kuanzia Julai mosi

    Binafsi nimeona kama Hifadhi ya mlima Kilimanjaro itapungua kwa kambi kutoka $50 na kuwa $35 hivi kama sikosei, inamaana ada za viingilio vitabakia kuwa vile vile ? Mwenye ufahamu zaidi atudaidie.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Ada za tozo Tanapa kuanzia Julai mosi

  10. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi pekee inayopika data za idadi ya watalii

    Wawasiliane na mawakala wa utalii kujua kila mmoja ameingiza watalii wangapi kwa mwaka
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rambirambi za waliokufa wa shule ya Lucky Vincent, Arusha zadaiwa kuchezewa rafu

    Nilimsikia akisema bunge 100m na wawakilishi 10m halafu ana 106m, nilichoka, nikahisi masikio yangu haiko sawa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Mashine ya EFD inatafutwa

    TRA wanatoa mashine bure kutegemea na aina ya biashara, wakijiridhisha biashara yako haina mtaji au uwezo wa kununua mashine, pia wanadai hata ukinunua kuna jinsi yakureshewa pesa wakimaanisha mashine ni mali ya TRA.
  13. M

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Mashine ya EFD inatafutwa

    Shida ni bei, 700,0000 na ... ngoja nimwambie ajikusanye tu, mfano ukinunua halafu ukashindwa biashara, hakuna jinsi yakurudisha sokoni?
Back
Top Bottom