Recent content by Mapolomoko

  1. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Nyalandu aanza kampeni kanisani, amhusisha Kikwete na majini

    Tumia hakili japo kidogo. kumbuka shehe YAHAYA (RIP) Alisema nini dhidi ya JK. na haijakanushwa na JK mpaka leo, au miaka hiyo ulikuwa haujazariwa?
  2. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Kwenye kanisa moja huko Ghana, hivi ndio wanavyofanya kuondoa mapepo ya ngono

    pepo la ngono toka toka tokaaaaaaaaaaaa sehemu za siri tokaaaaaaaaaaa. hapo atakuwa anamjaribu kuona kama msisimuko umekwisha
  3. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

    Inasemekana Mkurugenzi wa shilika la SHIDEFA anahusilka. kwani ni mtuhumiwa wa sikunyingi na siku hiyo alikuwa ktk duka la jamaa mmojawapo kati ya walio vamiwa mpaka wakati wa kufunga kumbe alikuwa anaangalia mauzo na keshoyake akasafiri . tunajua kafanya hivyo kuhadaa uma
  4. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Wananchi wamwomba Kikwete amtimue DC Biharamulo

    Usitumie masaburi kufikiri.
  5. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza uchawi, wapi ninaweza kutimiza lengo langu?

    Shikamooo jinalako linatisha mpaka nimekusarimia
  6. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Je mkoani kwenu zipo na zinaitwaje?

    Acha zarau hauwezi kunikumbusha kwa picha tu. nitumie harakasana kabra sijakuroga. hahahahaaaaaa nataniatu mjomba, nikipata nauri kijijini nitazifuata ieeeee mjomba ie.
  7. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

    mjini mtaa wa stendi, mtaa wa majengo B, nyamahanga na katoke
  8. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

    Tunaomba IGP aongeze nguvu, vijana wake wameshindwa. Kwa juma moja wameshavamia nyumba zaidi ya tano. Wananchi tunaishi kwa hofu kwani ni mara ya kwanza kuvamia mjini.
  9. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania MPANDA: Baada ya mkutano mkubwa wa CHADEMA, Polisi yawapiga mabomu kuwatawanya

    Ujinga kamahuu hiwa sichangii
  10. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Unafikiri jamaa anacheza nyimbo gani hapa?

    naunga mkono hoja
  11. Mapolomoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Riwaya: Chokoraa

    tupe mambo
  12. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Aibu: Shyrose Bhanji azua tafrani ziara ya EALA

    Kwani hao ulio wataja walikuwa wanamula ngozi bure?
  13. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Ukuzaji maumbile ya kiume

    Huyo alikuwa kazoeshwa bororoni kubwa
  14. Mapolomoko

    JamiiForums Tanzania Makato ya pesa kwa ajili ya ujenzi wa Maabara za Sekondari

    wakatwe tu. tumechoka. shinyanga Sungusungu waliwalazimisha mgome mkalalamika. tatizo la walimu wengi wao ni watoto wa masikini
  15. Mapolomoko

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenzenu nusu nitembee na kaka yangu

    Utamuelewaje changu doa?. mpaka nawe uwe changudoa
Back
Top Bottom