Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

Mapolomoko

JF-Expert Member
Feb 16, 2013
1,751
417
Tunaomba IGP aongeze nguvu, vijana wake wameshindwa. Kwa juma moja wameshavamia nyumba zaidi ya tano. Wananchi tunaishi kwa hofu kwani ni mara ya kwanza kuvamia mjini.
 
Tunaomba IGP aongeze nguvu, vijana wake wameshindwa. kwa juma moja wameshavamia nyumba zaidi ya tano. wananchi tunaishi kwa hofu. kwani ni mara ya kwanza kuvamia mjini

...jichukulieni sharia mkononi' mkikamata ua! choma moto! huo ndiyo ulinzi shirikishi, kwani polisi wetu wamezidiwa nguvu, hawana uwezo wa kuhimili vishindo!
 
Tunaomba IGP aongeze nguvu, vijana wake wameshindwa. kwa juma moja wameshavamia nyumba zaidi ya tano. wananchi tunaishi kwa hofu. kwani ni mara ya kwanza kuvamia mjini

biharamulo ipi kijiji gani kata gani sio rahisi pale mjini kwenye lundo la askar wa 23 kg walio panga mjini au wao ndio majbqzi weka habari yako vizur tukusaidie
 
Namkumbuka jambazi moja mashuhuri Bonni wa Kachwamba centre na kijana jambazi mwenye asili ya Kinyarwanda wa kwa Dosera walivyokuwa wanafanya watakavyo bila kuguswa na polisi hadi wananchi wakachukua hatua mkononi na Bonni akakimbilia Katoro Geita.
 
biharamulo ipi kijiji gani kata gani sio rahisi pale mjini kwenye lundo la askar wa 23 kg walio panga mjini au wao ndio majbqzi weka habari yako vizur tukusaidie

mjini mtaa wa stendi, mtaa wa majengo B, nyamahanga na katoke
 
B'mlo na ukauzu wangu wote kwenda kunywa bia mita 20 zaidi ya gesti niliofikia sijawahi thubutu....waga nashukuru kuwahi kupiga mishe mishe kagera...mkoa upo tofauti sana na mingine..kuendesha gari bila buku hamsini pembeni kwenda wilaya nyingine kutokea b'mlo equals DRIVE AT YOUR OWN RISK...
 
Hao majambazi waache ujinga kila siku wanawateka wavuja jasho siku nyingine wawe wanateka za Escrow.wangeteka za Escrow ingekuwa ni vema sana
 
Hao majambazi waache ujinga kila siku wanawateka wavuja jasho siku nyingine wawe wanateka za Escrow.wangeteka za Escrow ingekuwa ni vema sana

majambazi pande hizo ni wahamiaji haramu, polisi/wajeda waliokosa nidhamu na wenyeji wachache sana tena sana...
 
Ulinzi usipofanyika vizuri tutapigwa tu cha kushangaza hadi benk ya nmb boxer na magari yanapaki mita karibu mbili je magari na hizo pikipiki zinazopaki kandokando ya benk tunawafahamu wamiliki? So ipo siku nmb bimlo itakujapigwa
 
Hao majambazi waache ujinga kila siku wanawateka wavuja jasho siku nyingine wawe wanateka za Escrow.wangeteka za Escrow ingekuwa ni vema sana

Hao Wa Escrow Ndio Majambazi Wenyewe Wakubwa, Ukiona Jambazi Anafanya Uhalifu Halafu Hakamatwi Ujue Katumwa Na Hao Hao.
 
poleni sana.....mnanikumbusha kuna jambazi slikuwa anaitwa sele alikuwa anafanya kazi mgodi wa geita ana operate lile gari kubwa "jumbo" jamaaa alikuwa hatari sana, waliporaga dhahabu zenye thamani ya mabilion
lakini huyo jamaa aliuwawaga ktk tukio lingine
 
Back
Top Bottom