Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

Majambazi yanatamba yatakavyo wilaya ya Biharamulo

pole sana ila kuwa makini sbb siku hizi maaskari wanakuwa wachonga dril
 
ingekuwa ni maandamano ya CHADEMA polisi wangeletwa wa kutosha lakini kwenye matukio ujambazi polisi hawangaiki
 
Inasemekana Mkurugenzi wa shilika la SHIDEFA anahusilka. kwani ni mtuhumiwa wa sikunyingi na siku hiyo alikuwa ktk duka la jamaa mmojawapo kati ya walio vamiwa mpaka wakati wa kufunga kumbe alikuwa anaangalia mauzo na keshoyake akasafiri
. tunajua kafanya hivyo kuhadaa uma
 
Toen zaka nasadaka kama awajarudi Dar WENYEWE mnamwibia MUNGU KILA SIKU MNAHISI MTAPONA TENA MWEZI DEC WANAKUJA DOUBLE MUWE NAHESHIMA KWENYE MATOLEO
 
Ulinzi usipofanyika vizuri tutapigwa tu cha kushangaza hadi benk ya nmb boxer na magari yanapaki mita karibu mbili je magari na hizo pikipiki zinazopaki kandokando ya benk tunawafahamu wamiliki? So ipo siku nmb bimlo itakujapigwa

Biharamulo, Chato, Geita ni sehemu hatari sana kuishi
 
Back
Top Bottom