Recent content by mapointi

  1. mapointi

    JamiiForums Tanzania Pombe inaharibu maisha yangu nisaidieni

    Ninkweli aisee 1.
  2. mapointi

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa lenta kwa nondo 3 unafaa?

    Mkuu nondo tatu za 12mm au au 10mm?
  3. mapointi

    JamiiForums Tanzania Nikilala baada ya muda kuna kitu mwilini kinakuja kinanivaa kwa nguvu na kunibana

    Ukija kulala kunywa Konyagi au K vant...aafu leta mrejesho baada ya week
  4. mapointi

    JamiiForums Tanzania Natafuta hizi Laptop, Lenovo thinkpad T460s na T480

    Ndugu wanajanvi Niwape pole sana na majukumu mnayo endelea nayo mpaka sasa. Shida yangu kubwa nazitafuta hizi laptop, sasa ni kipindi cha miezi sita hapa Tanzania bila mafanikio yoyote. Ninaomba mtu mwenye mzigo au aneyeweza nipatia connection sehemu zinako patikana ani PM kwa ajili ya...
  5. mapointi

    JamiiForums Tanzania Kuna msichana ninayempenda lakini yupo kwenye mahusiano nifanyaje?

    Yuko dodoma sehem gani...nikamsaundishe kua mwana unayo mfanyia sio..
  6. mapointi

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    Badoo sana... akili yako niya karne ya19
  7. mapointi

    JamiiForums Tanzania Anna Tibaijuka umewaponza wenzako nimeamini Mwanamke siyo mtu wa kupiga nae deal

    Yaani huyo sio kumpiga chini tu afukuzwe muleba kabisa... mimi nashangaa watu na akili zao mnamchagua mwanamke awaongoze tena mzee akili imechoka ... Hem waamasishe vijana wabadilike.. mchagueni kijana ambaye anaonekana kidogo anachangamka sio huyo makamasi tu.
  8. mapointi

    JamiiForums Tanzania Muendelezo wa mabadiliko ya dunia: Hatimaye mwanaume si chochote tena kwa mwanamke

    Tatizo linalo wakumba hawa vijana wakiume wasikuhizi wana penda raha ^^sijui ndo wanaita bata batani^^ kiasi kwamba inawachukua wanajisahau mpaka kwenye masomo yao.
  9. mapointi

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Huyu mama ni mnafiki sijawai kuona.. bado nashangaa watu wa bukoba wanampendea nini huyu mwanamke.
  10. mapointi

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mitihani ya NECTA kuweni makini Civics imevuja

    Hahaha.. jamaa anazingua... inawezekana yeye kasota sana.... sikuhizi mteremko bwana
  11. mapointi

    JamiiForums Tanzania Wasimamizi wa mitihani ya NECTA kuweni makini Civics imevuja

    Watu bwana ...! Sasa kama imevuja izibe basi.
  12. mapointi

    JamiiForums Tanzania Kukaa mda mrefu bila kufanya mapenzi huweza kumfanya binti kupoteza fahamu?

    Dooo! Hizo zitakua nyege Pilipili. Hadi Mtu Anazimia.! Sent from my iPad using JamiiForums
  13. mapointi

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa mia kwa mia (100/100)

    83 Sent from my iPad using JamiiForums
  14. mapointi

    JamiiForums Tanzania Kipindi gani cha redio na mtangazaji wake ilikuvutia sana?

    Daa kipindi cha nyuma nilikua msilikzaji mzuri sana wa redio nakumbuka daily lazima nimsikilize Fredwaa na kipindi chake cha sindano tano za moto...
  15. mapointi

    JamiiForums Tanzania Uza~Nunua chochote.....Toa na kupokea wazo la kibiashara kupitia whatsapp

    add me plz 0756923187
Back
Top Bottom