Recent content by maple

  1. M

    Natafuta mke ambaye ni 'old fashioned'

    Kwani old fashioned ni yupi?
  2. M

    CHADEMA, mmeagana na nyonga katika kumpokea Nyalandu na wengine wa aina yake?

    Ni haki yake ya kimsingi kuhama na kuhamia chama anachokitaka. Ila kama ni mkweli basi atoe mchango wake katika chama anachotaka kuhamia akiwa mwanachama wa kawaida...asitafute uongozi wa juu. Hii itawapa nafasi wanachama wengine, na viongozi pia, kujua mwenendo wake na kama ni muumini wa kweli...
  3. M

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Nacho ni Kiswahili? Maana yake ni nini?
  4. M

    Kukamatwa, kupigwa risasi Lissu: Chama cha Wanasheria Uingereza chamlima barua Rais Magufuli

    Barua hii haijanikonvinsi beyond rizonabo daut kwamba ni kweli imetoka huko inakosemekana imetoka...
  5. M

    Nini kinachokutofautisha wewe na wasichana wengine

    Du y yaani Mentor unanifurahisha na comments zako...pata kitochi
  6. M

    The Boss uko wapi?

    Kwa kweli...
  7. M

    Sikuwahi kudhania kuna siku msichana wangu wa kazi atanibaka. Nimeumizwa sana

    House maid ni profession...nenda kwenye ofis zao utapata anayejua kazi. Ukiamua kutafuta mikoani kubali yote...hapo umepata 'dada poa' aliyejifanya 'baamedi' na baadaye 'housegirl'. Pole lakini
  8. M

    Habiba Umeniponza...

    Hongera kwa kujifunza mentor....Sasa vipi- ushamrudisha D au umeamua kupata mbadala?
  9. M

    Naomba mnisaidie kuhusu hili

    Nimeipenda hii. At least umekuwa muwazi. Ila kwa kizazi hi cha wa KKK ni wangapi wanaweza tumia hizo njia mbadala ulizoanduka?
  10. M

    Magufuli atembelea shule aliyosoma (Katoke Seminary),atoa milioni moja kukarabati dirisha alilovunja

    HaàaHaaaaaaa. Amekiri kosa hivyo mahakama inamhusu...
  11. M

    Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

    Amesema alijifungia chumbani. Wala hakumuona. Muamini tu Latoya...:)
  12. M

    Nakuja mwona mtoto na ntalala hapo

    Mentor wewe ni kiboko
  13. M

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Mheshimiwa ameathirika na mfume dume. Ingawa ni kweli kwamba hakuna mzazi au jamii inayopenda mtoto apate mimba shuleni, 'kumkomoa binti' kwa kumuondolea haki yake ya kusoma si sahihi-kwa maoni yangu. Kama ni adhabu basi itolewe kwa wote wawili (me & ke). Wito kwa wazazi, iwapo binti anakumbwa...
Back
Top Bottom