Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
nikajua unamwambia anywe utaenda kulipaWe kunywa hizo lite ndo zitasababisha atakutafuna.
nikajua unamwambia anywe utaenda kulipaWe kunywa hizo lite ndo zitasababisha atakutafuna.
[emoji23][emoji23][emoji23]Jamaa atakuwa anasimamia kucha sasa hivi aiseee
Subiri ndo utajuaNo lite hazijawah fanya nitafunwe,labda niamue mwenyewe.
Chezea ukuni weye!!!nikajua unamwambia anywe utaenda kulipa
Alichezea mjegejo aka dibloNi wakati wa mrejesho,
Ulikunywa lite ngapi?
Hii kitu haipo lazima MTU aliliwa.Usimtolee maneno makali hata kidogo huwezi jua ni roho gani inamfuatilia.Msubiri aje umsikilize anasemaje then kuhusu kulala mwambie humuamini tena kutokana na lugha chafu alizokutolea na kutopatkana kwake.Pia huna hisia na yeye huo ndo ukweli ulio nao baada ya hapo nyamaza kimnya usiongee tena.Kama kuna chumba na sebule lala sebuleni kwa raha zako akitaka kukuparamia muulize kwa upole unataka kunibaka ?Nimeshakwambia sina hisia na wewe niache please.Badilika usifanye kitu ambacho amekizoea utamshtua lazima.
Lete mrejesho ilikuwaje alipokuja kumuona mtotoDunia mzunguko, for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae. The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.
Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone. Sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote, sielewi kapata wapi no yangu, ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.
Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana, bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.
Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia, nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo. Nilimkataza, akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way. then kakata simu. I was like eish is he crazy? Ok sitamnyima kumwona mwanae, bt kulala kwangu, like you own the place, hell no.
Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili. Kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.
Wadau nipeni pointers, nasolve vipi hii ishu?
Ali "inspect" na njia aliyopitia mtoto kuja duniani.Lete mrejesho ilikuwaje alipokuja kumuona mtoto
Mentor wewe ni kibokoLatoya, I am a man. Naomba uniamini tu kiduchu hata kama hatufahamiani ukimfungulia mlango wa sebuleni nakuhakikishia na wa chupi utamfungulia.
Kama anataka kumwona mwanaye sidhani kama upo mkoa ambao hauna hotel. Mkutane kwenye hotel tena nzuri tu yenye ukimya..mkae restaurant mle chakula cha jioni, aondoke kwenda kwake uondoke kwenda kwako.
This is my final advice, kutoka kwenye maandishi yako, bado huna chuki ya kutosha kwa huyo mwanaume, hutaweza kumzuia wewe! na kwa kuwa umesema hutaki ku create scene please please and please take my advice.
Naelewa ni baba wa mwanao, ila wakati mwingine ataacha kukuchezea akiona msimamo wako..usimkaribishe ndani kwako.
Ungekua a bit stronger ningekushauri hata huyo mtoto asimuone...kwani nini, kumwaga mbegu tu hakumtoshi kuvamia kwako. He was supposed to be the father to the unborn king hadi alipozaliwa ila na matusi umepata. Unadhani huko moyoni mwake leo kakutana na Yesu akakukumbuka?
let me tell you ninachodhani...kakosa pa kulala (kama mpo mikoa tofauti), ana nyege leo, au ni mario tu ulishamzoesha kumlea...one of these must be true.
Dah basi tu unhekuwa dada yangu ningekuchapa viboko kama ungemkaribisha kwako.
kwani akimwona mtoto atadhurika nini? c kama mpita njia mwingine tu!!mwache amuone maisha bado sanaMtoto ambae hatimizi mahitaji yake anakuja kumuona kivipi????
A thin line between love and hateHIVYO NI VITISHO, UBABE WA KIPUUZI. MAKE ADVANCE REPORTING TO THE POLICE KUWA KUNA MTU ANATAKA KUJA KUNIFANYIA FUJO, (CRIMINAL TRESS PASS), THEN AKIJA WAITE KUWAKUMBUSHIA. USIMUENDEKEZE UNLESS YOU ARE STILL INTERESTED IN HIM.
duh nyie nadhani hamjui kupenda!!mtoto wa kike akipenda anapenda kweli!! me nishawai kumlaza polisi ex.gf wangu cku 2,nikaja kumtoa na ucku nikamla vile vile nyie hacheniMy dear dunia ilivyo saizi usirudie matapishi ukiamua kuacha acha anaweza kuja kumbe keshaathirika, cha msingi ugomvi wenu usimuhusishe mtoto wee mkaribishe vzuri hata chakula mpe akitaka kulala mwanbie kuna mwenzake anayelipa kodi na bili za umeme kwa jibu hilo sidhani kama ataendelea kungangania
Dah hapa nimekupendaje!!wanawake wote tuliozaa nao wangekuwa kama wewe mbona tungebadilika sana!!Hapana,wajua,nyumbani wanamfahamu,ila hawafahamu kama halei mwanae .na anaheshimika kama baba wa mwanangu,nimeficha hii siri ili kumlindia heshima yake kama baba wa mwanangu.wanajua ananisaidia malezi,matumizi nk ingawa hafanyi hivyo.
So leo akija nikaonyesha tofauti haitaleta picha nzuri,kwani ni mtu mwenye kazi yake nzuri tu,sema ndo busy na kula ujana akiniachia mzigo wote mwenyewe.
Hata mwanangu sitakaa nije nimwambie kuwa babake hamtunzi,sitaki imwaribu kisaikolojia.nimeongea naye mara nyingi nikidhani atabadilika ila hafanyi hivyo.
Na sipendi tofauti zangu na yeye zimhusishe mtoto,ndomana nimekeep cool.wanawake tunafanya haya sana ili kulinda furaha za watoto.najua once members wa family yangu wakijua watakuja mwambia mwanangu,kitu ambacho sipendi kitokee.
Inshalaah Mola ataniwezesha ntapata rizki mtoto atakuwa tu vizuri.
Baada ya hii movie tarjiwa tafadhali naomba mrejesho naeza nkapata kitu cha kuongezeq ktk riwaya yanguDunia mzunguko, for sure i never expected this from this guy.
Niliwahi leta thread hapa kuwa mzazi mwenzangu,hanisaidii malezi ya mwanae. The last time nimeenda kwake kwa surprise nilikuta anaishi na mwanamke.alinitolea maneno mabaya sana ya kuniumiza moyo.
Nilibadili no ya simu na kuwa busy na kazi yangu nikimlea baby boy wangu alone. Sikuwahi mtafuta kwa namna yoyote, sielewi kapata wapi no yangu, ila nahisi ameipata kwa workmate wangu ambaye ni friend wake.
Mlinipa moyo na wengine kunitolea kauli za kuumiza sana, bt niseme tu zilinijenga na kunifanya kuwa jasiri kumwacha aishi maisha yake.
Leo niko kazini napokea call kwenye no ngeni,akajitambulisha,then akanambia, nakuja mwona mwanangu na ntalala hapo. Nilimkataza, akanambia sio ombi anakuja ,na kama kuna kitu nahitaji niseme anunue on the way. then kakata simu. I was like eish is he crazy? Ok sitamnyima kumwona mwanae, bt kulala kwangu, like you own the place, hell no.
Hapa nipo napiga lite ili nipate confidence ya kumkabili. Kwa maneno makali alonitolea that day niliyomkuta na mwanamke niliapa kutomsamehe.
Naishi na dada wa kazi na mama mdogo kaja nitembelea so naogopa kucause scene.
Wadau nipeni pointers, nasolve vipi hii ishu?
Mwenzako mjamzito...Hebu niitie Latoya atupe mlisho-nyuma!