Nauza nyumba (ghorofa moja) ambayo haijakamilika kwa bei nafuu, malipo ya awamu pia nakubali

dereckkilaki

Member
May 28, 2017
7
45
Habari Members
Wiki mbili zilizopita niliweka tangazo la nia yangu ya kurudi Mkoani ili nikawekeze kwenye kilimo hivyo nilitangaza kuuza Nyumba yangu ambayo haijakamilika na kiwanja vilivyopo Madale, Dar es Salaam. Nashukuru mwana JF mmoja aliwasiliana nami na nimeshamuuzia kiwanja hivyo Nyumba bado imebaki.
Nyumba ninayouza ni Ghorofa moja na nimeijenga mpaka ghorofani hivyo bado kumalizia Renta na kuezeka. Ina vyumba 4 juu na chumba kimoja chini. Pia kuna Sitting Room,Kitchen, Dinning, VIP Lounge na Study Room.
Kiwanja kina ukubwa wa Square Meter 1105. Umeme na Maji vipo karibu.
Bei ni Ml.55
Pia NAKUBALI KWA MTEJA ANAYEWEZA KULIPA KWA INSTALLMENT.
Ni suala la kukaa tu na kukubaliana kisheria
Napatikana kwa namba 0786 294545
Karibuni
 

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
35,432
2,000
Bei nzuri ,masharti nafuu,
tatizo sina hela saa hii,
ngoja subiri wanakuja
 

Ninaweza

JF-Expert Member
Dec 14, 2010
9,826
2,000
Kwamba umeuza kiwanja ila nyumba bado!!!!, Ni sehemu 2 tofauti au la??????...... Sijaelewa.
 

Gemini6

Senior Member
Jun 21, 2017
153
250
Mkuu kama unakubali malipo kwa awamu naomba niuzie ntalipa kwa awamu mia mbili ndani ya miaka mitano.umesema hatutashindwana.I'm very siriaz
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom